Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

Malalamiko ndio chanzo cha habari tulia

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari![emoji1787][emoji1787]MATAGA bana! Mmeshamjua mharifu na mna vyombo vyote chukueni hatua hatutaki taarabu, mna wajibu wa kusimamia sheria sio kuimba taarabu. Serikali corrupt haiwezi kusimamia sheria.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Kwa kweli Mbowe ni kiboko! Kama anaweza kufanya yote haya ndani ya nchi yenye jeshi na kila wanausalama basi yeye ni hatari zaidi ya hatari vinginevyo angekuwa anakaribia kunyongwa jela kama haya yanayosemwa yana ukweli. Kwanini usiende kuisaidia jamuhuri kufungua kesi halafu mashahidi muhimu kama kina Zitto wakatumika ili afungwe asiendelee kudhulumu uhai wa watu?
 
Nikweli Uncle Jay Jay.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kacheki ubongo mkuu
 
Kwahiyo na wewe unaamini Mbowe kafanya yote hayo, pamoja na kumuua yule diwani!! Akili yako iko wapi, likizo??! Au ndo uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo!

Jamani, hebu tumwogope na Mungu, such serious allegations against this man, and still yuko uraiani??! Unamsikiliza Waitara anayepambana na hali yake, ambapo hadi sasa hajui anagombea jumbo gani??!!
 
wewe unajua nini wewe ?
hivi una maslai gani unayapata mpaka ukawa mstari wa mbele kutetea waharifu ?
acha uzwazwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe haswa ulivyo mtukana mzee lowasa wakati amehamia cdm, ila leo hii unamramba miguu
kikwete si mmemtuka matusi ya nguoni wakati wa utawala wake nyinyi bavicha.leo mnatoa shukrani za kinafki ?
kwanza kikwete ni chama gani ?
ufipa amjui hata kujitetea,!!,

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…