Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

Kama una taarifa za kuaminika na kueleweka basi zipeleke polisi zikasaidie uchunguzi...kama huwezi basi acha unafki Fanya mambo mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe kama aliuwa malipo ndio haya anapata
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Sumaye,PM mstaafu kachimbwa mkwara wa "sumu haionjwi"

Hao vidampa wasiokuwa hata na address wanapitia mangapi?
 
Ushahidi upo sana maana sio yeye aliyeanza kutoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utajisikiaje siku ukijua kuwa MBOWE ndio Bujibuji?
Utakufa au utajiharishia kwenye kadamnasi? Chagua moja
 
Acha muuaji ajulikane afungwe tumechoka mauaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni mimba bc itakuwa changa,Nakushauri tu achana na upopoma ungeweza tumia muda huu hata kulima tu imgekuwa poa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa unaonekana kama chizi tu, hata hao uliojiungaa nao wamekudharau

Njaa inaakutafuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna uongo hapa mbowe ajibu tu hayajaanza na mramba haya yalikuwepo kitambo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…