Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

Lissu ashambuliwe na Mbowe Dodoma kweupe halafu serikali isitake advantage. Ben saanane hivyo hivyo. Unapohadithia habari mpya usijeingizia Na habari ambazo watu sio ngeni kwao. Kuaminika kwa habari mpya kunategemea sana Na usahihi wa habari za zamani ambazo wapokea taarifa wanazo.
Lisu alisema na mbowe ahojiwe Ben muulize

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unonekana kuwa na taarifa nyeti na muhimu sana, nakushauri uzipeleke polisi ili zisaidie kumuwajibisha mbowe. Na kama huwezi basi achana na ngonjera zako. Unajishushia hadhi yako mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini aliwahi kuwa na heshima? Huyo alifukuzwa cdm kwa wizi wa fedha za chama

In God we Trust
 
Je wewe mtetezi huna jambo binafsi na Mbowe?
Nimetetea nini. Bandiko lako hata wanaojadili hawajalisoma vizuri. Umeandika kuwa ni hisi zako tu. Sasa kama ni hisi kwa nini tujadili hisi za mtu?

Wewe hata jina la Diwani mwenyewe hulikumbuki habari yako itakuwaje ya kweli? Halafu unaposema unasaidia uchunguzi uchunguzi gani wewe unaosaidia? Umaarufu unaoutafuta utagharimu heshima yako ndugu yangu.

Maana hata mtu akijisaidia hadharani atakuwa maarufu lakini umaarufu wenyewe utakuwa ni wa kipumbvu tu!!
 
Hizi ni propaganda za kipumbavu na za kipuuzi Tz ina chagamoto nyingi zaidi ya Mbowe nguvu mnazo elekeza kwa kimshusha mbowe mgeziweka kwenye masuala yanayo saidia taifa sio chama, corona ipo maleria ipo elimu bado mbovu sector ya afya ina shida kubwa mnatuletea propaganda za mbowe kila wakati watu ni wale wale....tumechoka tunahitaji national issues plz

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishirikisha akili utaona kitu kwa mleta hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapana mkuu,ndugu za hawa waliopotezwa wanalia kwa uchungu sana.ifike wakati watu wa haki za binadamu waonekane wakikemea mambo kama haya.

mbowe damu za hawa marehemu(kalma) zitazisakama kizazi chake milele.mbowe mwisho wake utakuwa mbaya sana kwa maovu anayowafanyia wenzie.mungu yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe talipa kwa hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unaongea kinyume
Duh ,Mbowe an adulterer and a killer, tutamvumilia mpaka lini huyu? Serikali ichukue hatua na imutie nguvuni Mara moja .

Kama taifa tutakuwa watu wa ajabu sana kumuacha muuaji na mzinzi mkubwa akipunga upepo uraiani kwa mgongo wa uenyekiti wa chama kinachoendekeza mauaji kwa raia

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Back
Top Bottom