Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

He is a Verified Member kama wewe! Bila shaka mtatolea ufafanuzi hizi shutuma dhidi ya Mwenyekiti wenu. Au ikibidi mumshtaki mhusika au mimshinikize aombe radhi au atoe ushahidi wa maelezo yake.

Haiwezekani kada wenu muasi aje atokwe mapovu kiasi hiki halafu mambo yaishe tu kimya kimya! Wengi tutaamini.

Hizi shutuma ni nzito!! Mfano hiyo shutuma ya huyo Diwani wa Namwawala Mh. Lwena, ninachokumbuka Polisi waliwakamata baadhi ya watuhumiwa, na wengi hatujui mpaka leo hiyo kesi imeishia wapi!
Huyu mwehu ni wakupiga ban mazima, hivi huyu ukimuuliza hilo shamba ni la heka ngapi ambalo limemfanya mbowe aue atajua?
 
Mbowe ameuwa wengi sana zipo pia tetesi za kutaka kumuuwa zito. Kupanga mumuuwa Dada yeke kisa mali za ukoo kumbuka huyu Dada alikufa kama Regia mtema na chacha Wagwe vifo vyao vinamalalamiko ya mbowe kuhusika

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini kila anayegombea uenyekiti CDM huhama chama?
Wangwe ....rip
Zitto ....alikimbia
Sumaye... Alikimbia
Mwambe... alikimbia

Mbowe Ana Nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khabbith kwel ww,Namshukuru Allah amenijaalia kuwa na kipato kizur tu na kuweza kumiliki wake wawili na watt sita kama wataka kuwa mke watatu ucjal kama vgezo utakuwa navyo nitakuongeza ok

Sent using Jamii Forums mobile app
maisha ya tanzania ni mazuri sana wake wawili na watoto sita wote wanasoma shule za kulipia.
na una usafiri na nyumba.
hii ndo faida ya serikali makini inayosimamia uchumi kwa watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ambavyo wamesema Lijualikali na Waitara kuhusu Mbowe kuiba fedha na kwenda kufanya kilimo huko Ifakara. Mbowe alifanya kazi hiyo kwa Mgongo wa Diwani mmoja huko Ifakara jina silikumbuki vizuri.

Ila Diwani huyo alishambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana. Taarifa nilizozipata wakati huo kutoka kwa viongozi wa juu ndani ya CHADEMA ni kuwa huenda Diwani huyo aliuawa kwasababu za kimaslahi kuhusu mambo ya mashamba na kilimo aliyofanya na Mbowe. Sikuandika kwasababu sikuwa na taarifa za ndani kuhusu mradi huo maana Wabunge hawa walificha hizi taarifa.

Ila niliwahi kuandika kuhusu hisia zangu za Mbowe kuhusika na upotevu wa Ben Saanane na Shambulio la Tundu Lissu. Mods mnaweza kunisaidia kuunganisha Uzi ule. Magazeti yaliandika habari hii.

Sasa zipo hisia kubwa kutoka kwa viongozi ndani ya Chama kuwa Mbowe alihusika na shambulio la Diwani yule kwasababu za kimaslahi.

Vyombo husika vifuatilie mwangwi huu!

Kwa tunaomjua Mbowe tunajua anaweza kufanya lolote almradi kulinda maslahi yake. Zitto kama hatakuwa mnafiki atakiri hadharani kuwa alishawahi kukatiwa breki za gari lake wakati fulani. Pia alitaka kuwekewa sumu na Ben Saanane.

Ben Saanane tukiwa nae Mabibo External kwenye Bar moja kubwa pale opposite na kanisa la KKKT baada ya kuondolewa Makao Makuu ya CHADEMA aliniambia kwa mdomo wake kuwa amemwambia Mbowe kuwa kama atabariki yeye kuondolewa Ben Saanane kuondolewa pale Makao makuu basi atajua atakavyojitetea maana wamefanya mengi yeye na Mbowe hivyo Mbowe anapaswa kumlinda. Jibu la Mbowe kwa Ben Saanane lilikuwa " UNANITISHA? Tuonane wiki ijayo" Alipoenda wiki ijayo akapewa cheo ambacho hakipo kwenye Katiba wala muundo wa Chama cha MSAIDIZI WA MWENYEKITI MAKAO MAKUU. alifanya kazi miezi miwili tu.

Nakumbuka alitumwa Hai na baadae Afrika Kusini. Aliporudi Afrika Kusini akiwa airport aliwasiliana na watu wawili kuwa amerudi baada ya hapo hajaonekana tena mpaka leo. Kwa tuliokuwa Makao Makuu mahusiano ya Mbowe na Saanane hayakuwa mazuri tena tangu Zitto aondoke CHADEMA maana siri nyingi zilivuja na hivyo Mbowe akawa anamkataa Saanane ili asichafuke. Mbowe anatumia mtu halafu anamkataa.

Alimtumia Zitto dhidi ya Chacha Wangwe akamkataa, Akamtumia Slaa na akina Saanane akawakataa, akawatumia Komu na Lwakatare dhidi ya Slaa leo amewakataa. Nasubiri anguko la Lissu baada ya Shambulio kufeli.

Muda unanisaidia sana. Ndio maana nasemaga JINI LINAWALA WAFUGA JINI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti jina silikumbuki vzr.....pumbafu
 
Waliompiga risasi Tundu Lissu wanajulikana, walikuwa wakizunguka na gari jeupe la TISS. Ninyi kama hilo gari jeupe la Serikali ya Tanzania na TISS mlimpa Mbowe basi mkamateni. WALIOMPIGA RISASI LISSU NA HAO WENGINE NI HAO HAO WALIOMVUA UBUNGE NA KUMNYIMA MATIBABU YAKE YA MSINGI. Na hao hao wanaoteka watu na kuwafunga kwa makosa yasiyo na kichwa wala miguu. Kama huyo ni Mbowe basi mkamateni. Tokea Magufuli ameingia Madarakani nchi yetu imekuwa ya ovyo....Mnachoweza ni kuteka na kuuwa wasio na hatia nyani nyiye!
 
Kwann unadhani aliyoyaandika ni ya kijinga? Au kwa kuwa wewe uko kwenye mrengo sawa na Mbowe ndo maana huamini chochote kinachosemwa dhidi yake?
Umesoma alichoandika? Kila sentensi ameandika kwamba hana ushahidi wa alichoandika. Sasa tujadiliane nini??
 
Back
Top Bottom