Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

ACP Barnabas Mwakalukwa azungumzia - A Crime Triangular, cyber space, cybercrime , cyber location , Offender ....victim of crime, terrorism.. How you can protect...

 
Benson Mramba,
Tunategemea ukahojiwe Polisi kwa kueneza chuki mitandaoni au kwa tuhuma za kufahamu uhalifu umetendeka lakini hujaenda Polisi

Msikilize :
ACP Barnabas Mwakalukwa azungumzia - A Crime Triangular, cyber space, cybercrime , cyber location , Offender ....victim of crime, terrorism.. How you can protect...

kusema ukweli ndo kueneza chuki,wewe wa wapi ?
jeshi la polisi litamshughulikia mbowe mda ukifika.labda akimbie na hata akikimbia atakamatwa tu.akina felician kabuga si walikimbia lkn leo wapo ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe alifanya kazi hiyo kwa Mgongo wa Diwani mmoja huko Ifakara jina silikumbuki vizuri.
Hilo shamba lilikuwa na ukubwa gani ama kama ni kununua mpunga walinuua kiasi gani na walikuwa wanauhifadhi wapi?

Ila Diwani huyo alishambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana. Taarifa nilizozipata wakati huo kutoka kwa viongozi wa juu ndani ya CHADEMA ni kuwa huenda Diwani huyo aliuawa kwasababu za kimaslahi kuhusu mambo ya mashamba na kilimo aliyofanya na Mbowe.
Kwa ivo unapoandika "huenda" unamaanisha huna hakika. Sasa kama wewe huna hakika unataka tujadili jambo ambalo wewe mwenyewe huna hakika nalo??

Sikuandika kwasababu sikuwa na taarifa za ndani kuhusu mradi huo maana Wabunge hawa walificha hizi taarifa.
Kwa ivo na hao wabunge pia unawatuhumu kushirikiana na Mbowe kufanya uhalifu??

Ila niliwahi kuandika kuhusu hisia zangu za Mbowe kuhusika na upotevu wa Ben Saanane na Shambulio la Tundu Lissu.
Huu tena si ukweli bali ni hisia zako!!??

Sasa zipo hisia kubwa kutoka kwa viongozi ndani ya Chama kuwa Mbowe alihusika na shambulio la Diwani yule kwasababu za kimaslahi.
Kwa mara nyingine tena umeleta mambo ya hisia.
 
We ni mpuuzi kama wapuuzi wengine,peleka huko upuuzi wa kitoto
Fanya wewe kazi hiyo. Mgawanyo wa majukumu. Kwa sisi wengine Mbowe ni mbaya kuliko Corona. Watu wameuawa, wamefilisika, ndoa zimevunjika na wengine hatuelewi hata kwanini tulipoteza muda kwenye siasa ili tu kuimarisha mfumo wa vyama vingi ili Taifa hili watu wabishane kwa hoja na kuwa na jukwaa mbadala la kusemea.

Sasa anapotokea mtu mmoja kulinda maslahi yake kuliko maslahi ya Chama chenye jasho na damu za wengi na kuliko maslahi ya Taifa hatuna budi kuunganisha nguvu kumdhibiti mtu huyo.

Actually nawashangaa sana usalama wa Taifa na serikali kumwachia Mbowe aiharibu CHADEMA ambayo ilishakuwa Taasis muhimu kwa Taifa hili. Ni bahati mbaya sana.

Pia nawashangaa Wanachadema wenyewe kukaa kimya, kususa na kumuacha afanye atakavyo kana kwamba CHADEMA ina jasho la Mbowe tu. Infact Mbowe hajawahi kupata hasara yoyote wala tabu kwenye CHADEMA. Slaa NDIO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He is a Verified Member kama wewe! Bila shaka mtatolea ufafanuzi hizi shutuma dhidi ya Mwenyekiti wenu. Au ikibidi mumshtaki mhusika au mimshinikize aombe radhi au atoe ushahidi wa maelezo yake.

Haiwezekani kada wenu muasi aje atokwe mapovu kiasi hiki halafu mambo yaishe tu kimya kimya! Wengi tutaamini.

Hizi shutuma ni nzito!! Mfano hiyo shutuma ya huyo Diwani wa Namwawala Mh. Lwena, ninachokumbuka Polisi waliwakamata baadhi ya watuhumiwa, na wengi hatujui mpaka leo hiyo kesi imeishia wapi!

Mkuu ww unataka cdm wajibu au kuchukua hatua kwani hujui haya mashambulizi ya sasa yako kisiasa zaidi? Kweli huyu ni verified user, je anamzidi Waitara ambaye ni mbunge kabisa kwa zile tuhuma zake? Je huyu anamzidi Godwin Mollel mbunge na naibu waziri, aliyesema ana ushahidi wa jinsi cdm walivyopanga kumuua Lissu? Ni mahakama ipi cdm itaenda kufungua mashitaka na itegemee kutendewa haki? Cdm wasilogwe wakaingia kwenye hayo malumbano ya siasa chafu, vyombo vya dola vipo na watoa tuhuma ni wanaccm, wawaite wawape ushahidi tayari kwa kesi kuanza.
 
Kama ambavyo wamesema Lijualikali na Waitara kuhusu Mbowe kuiba fedha na kwenda kufanya kilimo huko Ifakara. Mbowe alifanya kazi hiyo kwa Mgongo wa Diwani mmoja huko Ifakara jina silikumbuki vizuri.

Ila Diwani huyo alishambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana. Taarifa nilizozipata wakati huo kutoka kwa viongozi wa juu ndani ya CHADEMA ni kuwa huenda Diwani huyo aliuawa kwasababu za kimaslahi kuhusu mambo ya mashamba na kilimo aliyofanya na Mbowe. Sikuandika kwasababu sikuwa na taarifa za ndani kuhusu mradi huo maana Wabunge hawa walificha hizi taarifa.

Ila niliwahi kuandika kuhusu hisia zangu za Mbowe kuhusika na upotevu wa Ben Saanane na Shambulio la Tundu Lissu. Mods mnaweza kunisaidia kuunganisha Uzi ule. Magazeti yaliandika habari hii.

Sasa zipo hisia kubwa kutoka kwa viongozi ndani ya Chama kuwa Mbowe alihusika na shambulio la Diwani yule kwasababu za kimaslahi.

Vyombo husika vifuatilie mwangwi huu!

Kwa tunaomjua Mbowe tunajua anaweza kufanya lolote almradi kulinda maslahi yake. Zitto kama hatakuwa mnafiki atakiri hadharani kuwa alishawahi kukatiwa breki za gari lake wakati fulani. Pia alitaka kuwekewa sumu na Ben Saanane.

Ben Saanane tukiwa nae Mabibo External kwenye Bar moja kubwa pale opposite na kanisa la KKKT baada ya kuondolewa Makao Makuu ya CHADEMA aliniambia kwa mdomo wake kuwa amemwambia Mbowe kuwa kama atabariki yeye kuondolewa Ben Saanane kuondolewa pale Makao makuu basi atajua atakavyojitetea maana wamefanya mengi yeye na Mbowe hivyo Mbowe anapaswa kumlinda. Jibu la Mbowe kwa Ben Saanane lilikuwa " UNANITISHA? Tuonane wiki ijayo" Alipoenda wiki ijayo akapewa cheo ambacho hakipo kwenye Katiba wala muundo wa Chama cha MSAIDIZI WA MWENYEKITI MAKAO MAKUU. alifanya kazi miezi miwili tu.

Nakumbuka alitumwa Hai na baadae Afrika Kusini. Aliporudi Afrika Kusini akiwa airport aliwasiliana na watu wawili kuwa amerudi baada ya hapo hajaonekana tena mpaka leo. Kwa tuliokuwa Makao Makuu mahusiano ya Mbowe na Saanane hayakuwa mazuri tena tangu Zitto aondoke CHADEMA maana siri nyingi zilivuja na hivyo Mbowe akawa anamkataa Saanane ili asichafuke. Mbowe anatumia mtu halafu anamkataa.

Alimtumia Zitto dhidi ya Chacha Wangwe akamkataa, Akamtumia Slaa na akina Saanane akawakataa, akawatumia Komu na Lwakatare dhidi ya Slaa leo amewakataa. Nasubiri anguko la Lissu baada ya Shambulio kufeli.

Muda unanisaidia sana. Ndio maana nasemaga JINI LINAWALA WAFUGA JINI.

Sent using Jamii Forums mobile app
This is stupidity,, rubbish, foolish to the maximum stage...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hlo halikuhusu nmeumbwa kumsujudia Allah pekee cwezi msujudia bnaadamu jwa kutaka kitu fulan kama mlivyo weng huko zizin lumumba
maisha ya tanzania ni mazuri sana wake wawili na watoto sita wote wanasoma shule za kulipia.
na una usafiri na nyumba.
hii ndo faida ya serikali makini inayosimamia uchumi kwa watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni propaganda za kipumbavu na za kipuuzi Tz ina chagamoto nyingi zaidi ya Mbowe nguvu mnazo elekeza kwa kimshusha mbowe mgeziweka kwenye masuala yanayo saidia taifa sio chama, corona ipo maleria ipo elimu bado mbovu sector ya afya ina shida kubwa mnatuletea propaganda za mbowe kila wakati watu ni wale wale....tumechoka tunahitaji national issues plz

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu
 
ee mungu muumba mbingu na nchi mbowe ataenda kujibu nini mbele za mungu kwa jinsi alivyo lowa damu kwenye mikono yake kwa maslai yake ya kisiasa hapa duniani.

Mbowe akumbuke dunia tunapita tu na wote tutakufa sasa kwa nini anadhulumu nafsi za watu kwa maisha mafupi ya duniani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Je una uhakika kuwa Kaloa damu na unaweza kuthibitisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo shamba lilikuwa na ukubwa gani ama kama ni kununua mpunga walinuua kiasi gani na walikuwa wanauhifadhi wapi?

Kwa ivo unapoandika "huenda" unamaanisha huna hakika. Sasa kama wewe huna hakika unataka tujadili jambo ambalo wewe mwenyewe huna hakika nalo??

Kwa ivo na hao wabunge pia unawatuhumu kushirikiana na Mbowe kufanya uhalifu??

Huu tena si ukweli bali ni hisia zako!!??

Kwa mara nyingine tena umeleta mambo ya hisia.
Maswali ya kitoto sana hii ni whistleblower tu, sio mahakamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom