Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa ujinga kwenye mambo ya maana tunajadili mauaji ya watanzanaia wenzetu unaleta mbege hapaKwani wewe mumeo hakwenda kwenye maandalizi ya mkesha wa kuiaga corona?
In God we Trust
Tangu lini aliwahi kuwa na heshima? Huyo alifukuzwa cdm kwa wizi wa fedha za chama
In God we Trust
Vichwa vyenu vimejaa upuuzi kama huu, kutwa kuwaza mauaji maana ndio kazi yenu msiojulikana, acha uzwazwa, za kuambiwa changanya na zako
Hata malaya sugu huwa anaongelewa mara nyingi. Sasa inategemea unaongelewa kwa mema au mabaya.Mbowe ameshika record mtu anaeongelewa Mara nyingi Tanzania kulipo ata raisi wa inchi.
Big up Mbowe.
Na kwanini tukubali maneno yako?
In God we Trust
kusema ukweli ndo kueneza chuki,wewe wa wapi ?Benson Mramba,
Tunategemea ukahojiwe Polisi kwa kueneza chuki mitandaoni au kwa tuhuma za kufahamu uhalifu umetendeka lakini hujaenda Polisi
Msikilize :
ACP Barnabas Mwakalukwa azungumzia - A Crime Triangular, cyber space, cybercrime , cyber location , Offender ....victim of crime, terrorism.. How you can protect...
Mkuu acha kelele, mpekeke mahakamani.
Hilo shamba lilikuwa na ukubwa gani ama kama ni kununua mpunga walinuua kiasi gani na walikuwa wanauhifadhi wapi?Mbowe alifanya kazi hiyo kwa Mgongo wa Diwani mmoja huko Ifakara jina silikumbuki vizuri.
Kwa ivo unapoandika "huenda" unamaanisha huna hakika. Sasa kama wewe huna hakika unataka tujadili jambo ambalo wewe mwenyewe huna hakika nalo??Ila Diwani huyo alishambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana. Taarifa nilizozipata wakati huo kutoka kwa viongozi wa juu ndani ya CHADEMA ni kuwa huenda Diwani huyo aliuawa kwasababu za kimaslahi kuhusu mambo ya mashamba na kilimo aliyofanya na Mbowe.
Kwa ivo na hao wabunge pia unawatuhumu kushirikiana na Mbowe kufanya uhalifu??Sikuandika kwasababu sikuwa na taarifa za ndani kuhusu mradi huo maana Wabunge hawa walificha hizi taarifa.
Huu tena si ukweli bali ni hisia zako!!??Ila niliwahi kuandika kuhusu hisia zangu za Mbowe kuhusika na upotevu wa Ben Saanane na Shambulio la Tundu Lissu.
Kwa mara nyingine tena umeleta mambo ya hisia.Sasa zipo hisia kubwa kutoka kwa viongozi ndani ya Chama kuwa Mbowe alihusika na shambulio la Diwani yule kwasababu za kimaslahi.
Fanya wewe kazi hiyo. Mgawanyo wa majukumu. Kwa sisi wengine Mbowe ni mbaya kuliko Corona. Watu wameuawa, wamefilisika, ndoa zimevunjika na wengine hatuelewi hata kwanini tulipoteza muda kwenye siasa ili tu kuimarisha mfumo wa vyama vingi ili Taifa hili watu wabishane kwa hoja na kuwa na jukwaa mbadala la kusemea.
Sasa anapotokea mtu mmoja kulinda maslahi yake kuliko maslahi ya Chama chenye jasho na damu za wengi na kuliko maslahi ya Taifa hatuna budi kuunganisha nguvu kumdhibiti mtu huyo.
Actually nawashangaa sana usalama wa Taifa na serikali kumwachia Mbowe aiharibu CHADEMA ambayo ilishakuwa Taasis muhimu kwa Taifa hili. Ni bahati mbaya sana.
Pia nawashangaa Wanachadema wenyewe kukaa kimya, kususa na kumuacha afanye atakavyo kana kwamba CHADEMA ina jasho la Mbowe tu. Infact Mbowe hajawahi kupata hasara yoyote wala tabu kwenye CHADEMA. Slaa NDIO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tunajadili mauaji hatu jadili nani anaakiliVichwa vyenu vimejaa upuuzi kama huu, kutwa kuwaza mauaji maana ndio kazi yenu msiojulikana, acha uzwazwa, za kuambiwa changanya na zako
He is a Verified Member kama wewe! Bila shaka mtatolea ufafanuzi hizi shutuma dhidi ya Mwenyekiti wenu. Au ikibidi mumshtaki mhusika au mimshinikize aombe radhi au atoe ushahidi wa maelezo yake.
Haiwezekani kada wenu muasi aje atokwe mapovu kiasi hiki halafu mambo yaishe tu kimya kimya! Wengi tutaamini.
Hizi shutuma ni nzito!! Mfano hiyo shutuma ya huyo Diwani wa Namwawala Mh. Lwena, ninachokumbuka Polisi waliwakamata baadhi ya watuhumiwa, na wengi hatujui mpaka leo hiyo kesi imeishia wapi!
This is stupidity,, rubbish, foolish to the maximum stage...Kama ambavyo wamesema Lijualikali na Waitara kuhusu Mbowe kuiba fedha na kwenda kufanya kilimo huko Ifakara. Mbowe alifanya kazi hiyo kwa Mgongo wa Diwani mmoja huko Ifakara jina silikumbuki vizuri.
Ila Diwani huyo alishambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana. Taarifa nilizozipata wakati huo kutoka kwa viongozi wa juu ndani ya CHADEMA ni kuwa huenda Diwani huyo aliuawa kwasababu za kimaslahi kuhusu mambo ya mashamba na kilimo aliyofanya na Mbowe. Sikuandika kwasababu sikuwa na taarifa za ndani kuhusu mradi huo maana Wabunge hawa walificha hizi taarifa.
Ila niliwahi kuandika kuhusu hisia zangu za Mbowe kuhusika na upotevu wa Ben Saanane na Shambulio la Tundu Lissu. Mods mnaweza kunisaidia kuunganisha Uzi ule. Magazeti yaliandika habari hii.
Sasa zipo hisia kubwa kutoka kwa viongozi ndani ya Chama kuwa Mbowe alihusika na shambulio la Diwani yule kwasababu za kimaslahi.
Vyombo husika vifuatilie mwangwi huu!
Kwa tunaomjua Mbowe tunajua anaweza kufanya lolote almradi kulinda maslahi yake. Zitto kama hatakuwa mnafiki atakiri hadharani kuwa alishawahi kukatiwa breki za gari lake wakati fulani. Pia alitaka kuwekewa sumu na Ben Saanane.
Ben Saanane tukiwa nae Mabibo External kwenye Bar moja kubwa pale opposite na kanisa la KKKT baada ya kuondolewa Makao Makuu ya CHADEMA aliniambia kwa mdomo wake kuwa amemwambia Mbowe kuwa kama atabariki yeye kuondolewa Ben Saanane kuondolewa pale Makao makuu basi atajua atakavyojitetea maana wamefanya mengi yeye na Mbowe hivyo Mbowe anapaswa kumlinda. Jibu la Mbowe kwa Ben Saanane lilikuwa " UNANITISHA? Tuonane wiki ijayo" Alipoenda wiki ijayo akapewa cheo ambacho hakipo kwenye Katiba wala muundo wa Chama cha MSAIDIZI WA MWENYEKITI MAKAO MAKUU. alifanya kazi miezi miwili tu.
Nakumbuka alitumwa Hai na baadae Afrika Kusini. Aliporudi Afrika Kusini akiwa airport aliwasiliana na watu wawili kuwa amerudi baada ya hapo hajaonekana tena mpaka leo. Kwa tuliokuwa Makao Makuu mahusiano ya Mbowe na Saanane hayakuwa mazuri tena tangu Zitto aondoke CHADEMA maana siri nyingi zilivuja na hivyo Mbowe akawa anamkataa Saanane ili asichafuke. Mbowe anatumia mtu halafu anamkataa.
Alimtumia Zitto dhidi ya Chacha Wangwe akamkataa, Akamtumia Slaa na akina Saanane akawakataa, akawatumia Komu na Lwakatare dhidi ya Slaa leo amewakataa. Nasubiri anguko la Lissu baada ya Shambulio kufeli.
Muda unanisaidia sana. Ndio maana nasemaga JINI LINAWALA WAFUGA JINI.
Sent using Jamii Forums mobile app
maisha ya tanzania ni mazuri sana wake wawili na watoto sita wote wanasoma shule za kulipia.
na una usafiri na nyumba.
hii ndo faida ya serikali makini inayosimamia uchumi kwa watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
DuuuHizi ni propaganda za kipumbavu na za kipuuzi Tz ina chagamoto nyingi zaidi ya Mbowe nguvu mnazo elekeza kwa kimshusha mbowe mgeziweka kwenye masuala yanayo saidia taifa sio chama, corona ipo maleria ipo elimu bado mbovu sector ya afya ina shida kubwa mnatuletea propaganda za mbowe kila wakati watu ni wale wale....tumechoka tunahitaji national issues plz
Sent using Jamii Forums mobile app
usinisumbue nampeleka kliniki dadako nikampime mimba. wiki kama mbili hivi nilinkunja nahisi nishampa mimbaKwani wewe mumeo hakwenda kwenye maandalizi ya mkesha wa kuiaga corona?
In God we Trust
Je una uhakika kuwa Kaloa damu na unaweza kuthibitisha?ee mungu muumba mbingu na nchi mbowe ataenda kujibu nini mbele za mungu kwa jinsi alivyo lowa damu kwenye mikono yake kwa maslai yake ya kisiasa hapa duniani.
Mbowe akumbuke dunia tunapita tu na wote tutakufa sasa kwa nini anadhulumu nafsi za watu kwa maisha mafupi ya duniani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maswali ya kitoto sana hii ni whistleblower tu, sio mahakamaniHilo shamba lilikuwa na ukubwa gani ama kama ni kununua mpunga walinuua kiasi gani na walikuwa wanauhifadhi wapi?
Kwa ivo unapoandika "huenda" unamaanisha huna hakika. Sasa kama wewe huna hakika unataka tujadili jambo ambalo wewe mwenyewe huna hakika nalo??
Kwa ivo na hao wabunge pia unawatuhumu kushirikiana na Mbowe kufanya uhalifu??
Huu tena si ukweli bali ni hisia zako!!??
Kwa mara nyingine tena umeleta mambo ya hisia.