Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

Kwa Tuhuma hii ulizotoa isingekuwa kuna mtu nyuma yako ungefunguliwa kesi ya Cyber Crime kwa kuwa unatumika ndio maana umepata GUTS za kuandika Upupu wako.

Yaani wewe ni kichwa maji kabisa,unadiliki kusema mbowe anahusika na kupotea kwa Ben na Kupigwa risasi Tundu Lissu,are you seriously? Really? Ulimsikiliza Zitto alivyochangia bungeni kuhusu kupotea kwa Ben? Ulisikia alivyosema walivyofuatilia polisi aliambiwaje? Kupigwa risasi tundu lissu mbowe ndio aliyeondoa walinzi getini? Mbowe ndio aliyeondoa CCTV camera? Mbowe ndio aliyekataza wachunguzi wa Nje Scotland Yard wasije kuchunguza tukio la kupotea Ben na kupigwa risasi Tundu?

Hata kama ni njaa hiyo yako imezidi.
 
Kitulize sindano iingie acha kelele. Mbowe ataozea jera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe kamatia hapo hapo....kinachokuponza ni uchaguzi wa 2015...hali ilikuwa tete....na kumpleka jamaa Kenya kwenye matibabu..haya yatapita vumilia tu....si muda mrefu utakakula mbivu.
 
WanaLumumba na Benson Mramba,
Mjue si wote mtasamehewa kama Musiba mtatolewa kafara kwa kufanya cybercrime

ACP Barnabas Mwakalukwa azungumzia - A Crime Triangular, cyber space, cybercrime , cyber location , Offender ....victim of crime, terrorism.. How you can protect...

 
Kama hadi wewe unanifahamu na hauko Dar wala Tanga huoni kama mimi ni maarufu tayari? Na bado unapata hata nafasi ya kusoma na kuchangia nilichoandika sitaki umaarufu zaidi ya huo
Ndugu zako wafanye kisomo urudie hali yako ya kawaida ya zamani!!!
 
WanaLumumba na Benson Mramba,
Mjue si wote mtasamehewa kama Musiba mtatolewa kafara kwa kufanya cybercrime

ACP Barnabas Mwakalukwa azungumzia - A Crime Triangular, cyber space, cybercrime , cyber location , Offender ....victim of crime, terrorism.. How you can protect...

 
Umeandika upumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe ameuwa wengi sana zipo pia tetesi za kutaka kumuuwa zito. Kupanga mumuuwa Dada yeke kisa mali za ukoo kumbuka huyu Dada alikufa kama Regia mtema na chacha Wagwe vifo vyao vinamalalamiko ya mbowe kuhusika

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukiona hivyo ujue una vyombo vya dola dhaifu. Tuhuma zote hizo Mbowe asiwe kwenye mikono ya sheria? Ingekuwa. Mbowe yuko madarakani hizi tuhuma angeweza kuzizima, kama kama zilivyozimwa tuhuma za shambulio la Lissu. Kizazi hiki au cha mazoba kama zamani useme mtawakamata kwa propaganda uchwara.
 
Sawa Polisi/mpelelezi/Interrogator

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhaifu wakati mbowe amekamatwa na kukaa jera miezi minne na wewe ulikuwa unaliahapa eti wanamwonea

Sasa subili hii ya mauaji uone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…