Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

Wewe Na hili jipost lako utaolewa siku si nyingi,mwanaume kuwa mnafiki Na muongo ni hatari kwa jamii nzima iliyomzunguka,

mwongo atofautiani Na mchawi
 

Non-sense and Absurd!!!!
 
Sawa Polisi/mpelelezi/Interrogator
Yaani nyie kila mkilala mnaibuka na mambo yasiyo na mbele wala nyuma kisa CHADEMA. Yaani huwa mnajifanya kuwa mna huruma sana na CHADEMA wakati kila sekunde mnatamani ife ili mfanye sherehe!!

Sisi ni kama kitindi cha ulanzi. Ukikata mwanzi mmoja lazima mwingine uchipue!!


Kitindi cha Ulanzi!!
 
Na wewe unamatatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa yaani you nailed it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…