USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zako wafanye kisomo urudie hali yako ya kawaida ya zamani!!!
Hahahaaa yaani mnavyomtafuta Mbowe angeshiriki katika hayo matantalila yenu angekuwa ndani.
Wewe Na hili jipost lako utaolewa siku si nyingi,mwanaume kuwa mnafiki Na muongo ni hatari kwa jamii nzima iliyomzunguka,
mwongo atofautiani Na mchawi
Kama ambavyo wamesema Lijualikali na Waitara kuhusu Mbowe kuiba fedha na kwenda kufanya kilimo huko Ifakara. Mbowe alifanya kazi hiyo kwa Mgongo wa Diwani mmoja huko Ifakara jina silikumbuki vizuri.
Ila Diwani huyo alishambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana. Taarifa nilizozipata wakati huo kutoka kwa viongozi wa juu ndani ya CHADEMA ni kuwa huenda Diwani huyo aliuawa kwasababu za kimaslahi kuhusu mambo ya mashamba na kilimo aliyofanya na Mbowe. Sikuandika kwasababu sikuwa na taarifa za ndani kuhusu mradi huo maana Wabunge hawa walificha hizi taarifa.
Ila niliwahi kuandika kuhusu hisia zangu za Mbowe kuhusika na upotevu wa Ben Saanane na Shambulio la Tundu Lissu. Mods mnaweza kunisaidia kuunganisha Uzi ule. Magazeti yaliandika habari hii.
Sasa zipo hisia kubwa kutoka kwa viongozi ndani ya Chama kuwa Mbowe alihusika na shambulio la Diwani yule kwasababu za kimaslahi.
Vyombo husika vifuatilie mwangwi huu!
Kwa tunaomjua Mbowe tunajua anaweza kufanya lolote almradi kulinda maslahi yake. Zitto kama hatakuwa mnafiki atakiri hadharani kuwa alishawahi kukatiwa breki za gari lake wakati fulani. Pia alitaka kuwekewa sumu na Ben Saanane.
Ben Saanane tukiwa nae Mabibo External kwenye Bar moja kubwa pale opposite na kanisa la KKKT baada ya kuondolewa Makao Makuu ya CHADEMA aliniambia kwa mdomo wake kuwa amemwambia Mbowe kuwa kama atabariki yeye kuondolewa Ben Saanane kuondolewa pale Makao makuu basi atajua atakavyojitetea maana wamefanya mengi yeye na Mbowe hivyo Mbowe anapaswa kumlinda. Jibu la Mbowe kwa Ben Saanane lilikuwa " UNANITISHA? Tuonane wiki ijayo" Alipoenda wiki ijayo akapewa cheo ambacho hakipo kwenye Katiba wala muundo wa Chama cha MSAIDIZI WA MWENYEKITI MAKAO MAKUU. alifanya kazi miezi miwili tu.
Nakumbuka alitumwa Hai na baadae Afrika Kusini. Aliporudi Afrika Kusini akiwa airport aliwasiliana na watu wawili kuwa amerudi baada ya hapo hajaonekana tena mpaka leo. Kwa tuliokuwa Makao Makuu mahusiano ya Mbowe na Saanane hayakuwa mazuri tena tangu Zitto aondoke CHADEMA maana siri nyingi zilivuja na hivyo Mbowe akawa anamkataa Saanane ili asichafuke. Mbowe anatumia mtu halafu anamkataa.
Alimtumia Zitto dhidi ya Chacha Wangwe akamkataa, Akamtumia Slaa na akina Saanane akawakataa, akawatumia Komu na Lwakatare dhidi ya Slaa leo amewakataa. Nasubiri anguko la Lissu baada ya Shambulio kufeli.
Muda unanisaidia sana. Ndio maana nasemaga JINI LINAWALA WAFUGA JINI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nyie kila mkilala mnaibuka na mambo yasiyo na mbele wala nyuma kisa CHADEMA. Yaani huwa mnajifanya kuwa mna huruma sana na CHADEMA wakati kila sekunde mnatamani ife ili mfanye sherehe!!Sawa Polisi/mpelelezi/Interrogator
Dhaifu wakati mbowe amekamatwa na kukaa jera miezi minne na wewe ulikuwa unaliahapa eti wanamwonea
Sasa subili hii ya mauaji uone
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu dhaifu kikaoneaInaonekana hujui tofauti ya udhaifu na uonevu. Chukua kamusi uone tofauti kisha uje ulete mrejesho.
Na wewe unamatatizoee mungu muumba mbingu na nchi mbowe ataenda kujibu nini mbele za mungu kwa jinsi alivyo lowa damu kwenye mikono yake kwa maslai yake ya kisiasa hapa duniani.
Mbowe akumbuke dunia tunapita tu na wote tutakufa sasa kwa nini anadhulumu nafsi za watu kwa maisha mafupi ya duniani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa yaani you nailed it.Kama ambavyo wamesema Lijualikali na Waitara kuhusu Mbowe kuiba fedha na kwenda kufanya kilimo huko Ifakara. Mbowe alifanya kazi hiyo kwa Mgongo wa Diwani mmoja huko Ifakara jina silikumbuki vizuri.
Ila Diwani huyo alishambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana. Taarifa nilizozipata wakati huo kutoka kwa viongozi wa juu ndani ya CHADEMA ni kuwa huenda Diwani huyo aliuawa kwasababu za kimaslahi kuhusu mambo ya mashamba na kilimo aliyofanya na Mbowe. Sikuandika kwasababu sikuwa na taarifa za ndani kuhusu mradi huo maana Wabunge hawa walificha hizi taarifa.
Ila niliwahi kuandika kuhusu hisia zangu za Mbowe kuhusika na upotevu wa Ben Saanane na Shambulio la Tundu Lissu. Mods mnaweza kunisaidia kuunganisha Uzi ule. Magazeti yaliandika habari hii.
Sasa zipo hisia kubwa kutoka kwa viongozi ndani ya Chama kuwa Mbowe alihusika na shambulio la Diwani yule kwasababu za kimaslahi.
Vyombo husika vifuatilie mwangwi huu!
Kwa tunaomjua Mbowe tunajua anaweza kufanya lolote almradi kulinda maslahi yake. Zitto kama hatakuwa mnafiki atakiri hadharani kuwa alishawahi kukatiwa breki za gari lake wakati fulani. Pia alitaka kuwekewa sumu na Ben Saanane.
Ben Saanane tukiwa nae Mabibo External kwenye Bar moja kubwa pale opposite na kanisa la KKKT baada ya kuondolewa Makao Makuu ya CHADEMA aliniambia kwa mdomo wake kuwa amemwambia Mbowe kuwa kama atabariki yeye kuondolewa Ben Saanane kuondolewa pale Makao makuu basi atajua atakavyojitetea maana wamefanya mengi yeye na Mbowe hivyo Mbowe anapaswa kumlinda. Jibu la Mbowe kwa Ben Saanane lilikuwa " UNANITISHA? Tuonane wiki ijayo" Alipoenda wiki ijayo akapewa cheo ambacho hakipo kwenye Katiba wala muundo wa Chama cha MSAIDIZI WA MWENYEKITI MAKAO MAKUU. alifanya kazi miezi miwili tu.
Nakumbuka alitumwa Hai na baadae Afrika Kusini. Aliporudi Afrika Kusini akiwa airport aliwasiliana na watu wawili kuwa amerudi baada ya hapo hajaonekana tena mpaka leo. Kwa tuliokuwa Makao Makuu mahusiano ya Mbowe na Saanane hayakuwa mazuri tena tangu Zitto aondoke CHADEMA maana siri nyingi zilivuja na hivyo Mbowe akawa anamkataa Saanane ili asichafuke. Mbowe anatumia mtu halafu anamkataa.
Alimtumia Zitto dhidi ya Chacha Wangwe akamkataa, Akamtumia Slaa na akina Saanane akawakataa, akawatumia Komu na Lwakatare dhidi ya Slaa leo amewakataa. Nasubiri anguko la Lissu baada ya Shambulio kufeli.
Muda unanisaidia sana. Ndio maana nasemaga JINI LINAWALA WAFUGA JINI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe ameshika record mtu anaeongelewa Mara nyingi Tanzania kulipo ata raisi wa inchi.
Big up Mbowe.
Kweli siyo nchi ya kuchezea ila acheni kuchafua watu kishamba,Na wala si sifa ya mwanaume kuwa mwongo mwongo Na unafiki,hii nchi mnaipeleka wapi nyie?!!uongo umekuwa sifa!!!?Siku ukimuona mbowe juu ya kalandinga ndio utajua hii sio nchi ya kuchezea
Sent using Jamii Forums mobile app