Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

ee mungu muumba mbingu na nchi mbowe ataenda kujibu nini mbele za mungu kwa jinsi alivyo lowa damu kwenye mikono yake kwa maslai yake ya kisiasa hapa duniani.

Mbowe akumbuke dunia tunapita tu na wote tutakufa sasa kwa nini anadhulumu nafsi za watu kwa maisha mafupi ya duniani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Japo huna akili basi waza kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya wewe kazi hiyo. Mgawanyo wa majukumu. Kwa sisi wengine Mbowe ni mbaya kuliko Corona. Watu wameuawa, wamefilisika, ndoa zimevunjika na wengine hatuelewi hata kwanini tulipoteza muda kwenye siasa ili tu kuimarisha mfumo wa vyama vingi ili Taifa hili watu wabishane kwa hoja na kuwa na jukwaa mbadala la kusemea.

Sasa anapotokea mtu mmoja kulinda maslahi yake kuliko maslahi ya Chama chenye jasho na damu za wengi na kuliko maslahi ya Taifa hatuna budi kuunganisha nguvu kumdhibiti mtu huyo.

Actually nawashangaa sana usalama wa Taifa na serikali kumwachia Mbowe aiharibu CHADEMA ambayo ilishakuwa Taasis muhimu kwa Taifa hili. Ni bahati mbaya sana.

Pia nawashangaa Wanachadema wenyewe kukaa kimya, kususa na kumuacha afanye atakavyo kana kwamba CHADEMA ina jasho la Mbowe tu. Infact Mbowe hajawahi kupata hasara yoyote wala tabu kwenye CHADEMA. Slaa NDIO.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeisha tu huna jipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo huna akili basi waza kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ameongea kinyume mkuu maana alichoandika kina point fingers at them hebu imagine wanavyomtafuta mbowe wangekuwa na ushahidi wa yote wanayomtuhumu nayo wangemuacha?

Kuanzia wangwe lisu na Ben wameshaambiwa walete wachunguzi huru hawataki wanamsingizia gharama gharama mbele ya haki?
 
Ndiyo maana nimemkoti kwa sentence hiyo maana upumbavu umejaa vichwani mwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni propaganda za kipumbavu na za kipuuzi Tz ina chagamoto nyingi zaidi ya Mbowe nguvu mnazo elekeza kwa kimshusha mbowe mgeziweka kwenye masuala yanayo saidia taifa sio chama, corona ipo maleria ipo elimu bado mbovu sector ya afya ina shida kubwa mnatuletea propaganda za mbowe kila wakati watu ni wale wale....tumechoka tunahitaji national issues plz
Iwapo maono yako yapo hivyo. Jee huoni muda unaotumiwa na Mbowe na wabunge wa chadema kumuandama Raisi , na hata wameyasahau majimbo yaliyowapa fursa ya kuwa wabunge, wamesahau jukumu lao la kuwawakilisha wananchi waliowapigia kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kikwete si mmemtuka matusi ya nguoni wakati wa utawala wake nyinyi bavicha.leo mnatoa shukrani za kinafki ?
kwanza kikwete ni chama gani ?
ufipa amjui hata kujitetea,!!,

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini ulimwona kikwete akifanya utoto mnaofanya sikuhizi? Mjaribu kuwa na afya njema ya akili. Haya mnayofanya dhidi ya watanzania wenzenu ni utoto wa kiutuuzima,lakini hayatawafikisha Popote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ambavyo wamesema Lijualikali na Waitara kuhusu Mbowe kuiba fedha na kwenda kufanya kilimo huko Ifakara. Mbowe alifanya kazi hiyo kwa Mgongo wa Diwani mmoja huko Ifakara jina silikumbuki vizuri.

Ila Diwani huyo alishambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana. Taarifa nilizozipata wakati huo kutoka kwa viongozi wa juu ndani ya CHADEMA ni kuwa huenda Diwani huyo aliuawa kwasababu za kimaslahi kuhusu mambo ya mashamba na kilimo aliyofanya na Mbowe. Sikuandika kwasababu sikuwa na taarifa za ndani kuhusu mradi huo maana Wabunge hawa walificha hizi taarifa.

Ila niliwahi kuandika kuhusu hisia zangu za Mbowe kuhusika na upotevu wa Ben Saanane na Shambulio la Tundu Lissu. Magazeti yaliandika habari hii.

Sasa zipo hisia kubwa kutoka kwa viongozi ndani ya Chama kuwa Mbowe alihusika na shambulio la Diwani yule kwa sababu za kimaslahi.

Vyombo husika vifuatilie mwangwi huu!

Kwa tunaomjua Mbowe tunajua anaweza kufanya lolote almradi kulinda maslahi yake. Zitto kama hatakuwa mnafiki atakiri hadharani kuwa alishawahi kukatiwa breki za gari lake wakati fulani. Pia alitaka kuwekewa sumu na Ben Saanane.

Ben Saanane tukiwa nae Mabibo External kwenye Bar moja kubwa pale opposite na kanisa la KKKT baada ya kuondolewa Makao Makuu ya CHADEMA aliniambia kwa mdomo wake kuwa amemwambia Mbowe kuwa kama atabariki yeye kuondolewa Ben Saanane kuondolewa pale Makao makuu basi atajua atakavyojitetea maana wamefanya mengi yeye na Mbowe hivyo Mbowe anapaswa kumlinda. Jibu la Mbowe kwa Ben Saanane lilikuwa " UNANITISHA? Tuonane wiki ijayo" Alipoenda wiki ijayo akapewa cheo ambacho hakipo kwenye Katiba wala muundo wa Chama cha MSAIDIZI WA MWENYEKITI MAKAO MAKUU. alifanya kazi miezi miwili tu.

Nakumbuka alitumwa Hai na baadae Afrika Kusini. Aliporudi Afrika Kusini akiwa airport aliwasiliana na watu wawili kuwa amerudi baada ya hapo hajaonekana tena mpaka leo. Kwa tuliokuwa Makao Makuu mahusiano ya Mbowe na Saanane hayakuwa mazuri tena tangu Zitto aondoke CHADEMA maana siri nyingi zilivuja na hivyo Mbowe akawa anamkataa Saanane ili asichafuke. Mbowe anatumia mtu halafu anamkataa.

Alimtumia Zitto dhidi ya Chacha Wangwe akamkataa, Akamtumia Slaa na akina Saanane akawakataa, akawatumia Komu na Lwakatare dhidi ya Slaa leo amewakataa. Nasubiri anguko la Lissu baada ya Shambulio kufeli.

Muda unanisaidia sana. Ndio maana nasemaga JINI LINAWALA WAFUGA JINI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pumba
 
He is a Verified Member kama wewe! Bila shaka mtatolea ufafanuzi hizi shutuma dhidi ya Mwenyekiti wenu. Au ikibidi mumshtaki mhusika au mimshinikize aombe radhi au atoe ushahidi wa maelezo yake.

Haiwezekani kada wenu muasi aje atokwe mapovu kiasi hiki halafu mambo yaishe tu kimya kimya! Wengi tutaamini.

Hizi shutuma ni nzito!! Mfano hiyo shutuma ya huyo Diwani wa Namwawala Mh. Lwena, ninachokumbuka Polisi waliwakamata baadhi ya watuhumiwa, na wengi hatujui mpaka leo hiyo kesi imeishia wapi!
Kwahiyo uchubguzi wa kifo chake ndio unataka kuanza leo baada ya Lijualikali kuhama chama??
 
Una roho ya kishetani kama ya lile jitu unalotaka likupe cheo na wote mtalaniwa.
 
Kama ambavyo wamesema Lijualikali na Waitara kuhusu Mbowe kuiba fedha na kwenda kufanya kilimo huko Ifakara. Mbowe alifanya kazi hiyo kwa Mgongo wa Diwani mmoja huko Ifakara jina silikumbuki vizuri.

Ila Diwani huyo alishambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana. Taarifa nilizozipata wakati huo kutoka kwa viongozi wa juu ndani ya CHADEMA ni kuwa huenda Diwani huyo aliuawa kwasababu za kimaslahi kuhusu mambo ya mashamba na kilimo aliyofanya na Mbowe. Sikuandika kwasababu sikuwa na taarifa za ndani kuhusu mradi huo maana Wabunge hawa walificha hizi taarifa.

Ila niliwahi kuandika kuhusu hisia zangu za Mbowe kuhusika na upotevu wa Ben Saanane na Shambulio la Tundu Lissu. Magazeti yaliandika habari hii.

Sasa zipo hisia kubwa kutoka kwa viongozi ndani ya Chama kuwa Mbowe alihusika na shambulio la Diwani yule kwa sababu za kimaslahi.

Vyombo husika vifuatilie mwangwi huu!

Kwa tunaomjua Mbowe tunajua anaweza kufanya lolote almradi kulinda maslahi yake. Zitto kama hatakuwa mnafiki atakiri hadharani kuwa alishawahi kukatiwa breki za gari lake wakati fulani. Pia alitaka kuwekewa sumu na Ben Saanane.

Ben Saanane tukiwa nae Mabibo External kwenye Bar moja kubwa pale opposite na kanisa la KKKT baada ya kuondolewa Makao Makuu ya CHADEMA aliniambia kwa mdomo wake kuwa amemwambia Mbowe kuwa kama atabariki yeye kuondolewa Ben Saanane kuondolewa pale Makao makuu basi atajua atakavyojitetea maana wamefanya mengi yeye na Mbowe hivyo Mbowe anapaswa kumlinda. Jibu la Mbowe kwa Ben Saanane lilikuwa " UNANITISHA? Tuonane wiki ijayo" Alipoenda wiki ijayo akapewa cheo ambacho hakipo kwenye Katiba wala muundo wa Chama cha MSAIDIZI WA MWENYEKITI MAKAO MAKUU. alifanya kazi miezi miwili tu.

Nakumbuka alitumwa Hai na baadae Afrika Kusini. Aliporudi Afrika Kusini akiwa airport aliwasiliana na watu wawili kuwa amerudi baada ya hapo hajaonekana tena mpaka leo. Kwa tuliokuwa Makao Makuu mahusiano ya Mbowe na Saanane hayakuwa mazuri tena tangu Zitto aondoke CHADEMA maana siri nyingi zilivuja na hivyo Mbowe akawa anamkataa Saanane ili asichafuke. Mbowe anatumia mtu halafu anamkataa.

Alimtumia Zitto dhidi ya Chacha Wangwe akamkataa, Akamtumia Slaa na akina Saanane akawakataa, akawatumia Komu na Lwakatare dhidi ya Slaa leo amewakataa. Nasubiri anguko la Lissu baada ya Shambulio kufeli.

Muda unanisaidia sana. Ndio maana nasemaga JINI LINAWALA WAFUGA JINI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe kwa jinsi anavyotajwa kuwa anauwezo wa kupanga mauaji na kusipatikane ushahidi basi ni mtaalamu mkubwa sana na mwenye mbinu Kali. Nashindwa kuelewa kwa nini hajawapoteza watesi wake waliovunja biashara zake, waliofanya njama kumuweka gerezani siku 104 na maovu mengine?
Mbona kwa sifa mbaya wanazo mzushia inaonyesha hata jiwe anaweza kuliondoa? Kwa nini hafanyi hivyo?
Mnapoteza muda wenu na Mbowe huku wananchi wameshaelewa nia yenu na Mungu anampandisha juu zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe uliyejua na kuficha ndo mbaya zaidi. Hivi mashamba tu na yanavotesa mtu kama Mbowe atoe mtu roho! Peleka ushahidi polisi.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
kisema lissu alitaka kuuliwa na mbowe unaonekana LIJINGA USIE NA AKILI
 
Wanasiasa wanaweza kudhuriana kwa sababu za maslahi ya kisiasa sio mashamba katika nchi yenye ardhi tele ya Tz. Mwongo huchagua lolote.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi huwa mnapataga wapi muda wakuandika ujinga mrefu hivi.
 
Back
Top Bottom