Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 8,105
- 20,307
Kuna ufisadi wa kutisha kwenye ujenzi wa barabara za mitaa Kariakoo lakini diwani wa kata hiyo Haji Manara yuko bize kutetea matajiri na kuhamasisha wamachinga wafukuzwe kila kona!
Wanachokifanya kwenye ujenzi wa barabara za mitaa ni kumwaga oili na cement kwenye barabara kila wanaposikia kuna ziara ya kiongozi mkubwa alafu akishapita hakuna kinachoendelea na hiyo oili na cement inazolewa na mvua!!
Mchezo huo unaendelea kwenye mitaa ya agrey, Masasi, kwa muda mrefu sasa.
Kama hamuwezi kusimamia barabara za mitaa zikaisha kwenye jiji la Ilala wapi tena mtaweza?