Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Diwani wa Kata ya Msamala, Manispaa ya Songea(CCM) , mkoani Ruvuma Issa Chamajaa amefariki dunia ajali ya pilipiki leo Oktoba 15, 2026.
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma, kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi, John Foroteo Haule, kimethibitisha kifo hicho na kueleza kuwa taratibu na ratiba za mazishi zinasubiriwa kutoka kwa familia.