PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 429
- 925
Vipi pikipiki
Bm2 chantaburi.Kwahio WINE tukanywee wapi? toa location chaaap
we kila kitu ni sayansi sayansi... unaonekana mshirikina wewe..Huyu kafanyiwa sayansi, alikua anafanya fujo sana wakati wa kampeni, toka kura za maoni hadi kuelekea uchaguzi mkuu, ni mbabe, jeuri, na mjivuni.
Kakutana na watu.
halfu hawajifunzi sijui... mtu mita 500 tu anachukua boda.. na uzee huu hata kuendesha sijui... nilizichukia nikiwa kijana sana... i better walk on footHizi pikipiki zitawamaliza aise watu
Mm nna miaka 15 sijagusa
Pikipiki kabisa nliamua kuachana nazo
Ova
Ajabu nini unataka na wee nikuroge?we kila kitu ni sayansi sayansi... unaonekana mshirikina wewe..
toka hapa... kitoto kidogo kimeiva kwa ulozi.Ajabu nini unataka na wee nikuroge?
😂😂😂
Muda ni mwalimu mzuri sana kila mtu siku zake ziko countedSana, ni mkorofi, mbabe na jeuri. Watu wamemsafirishaa shwaaaa!!
Sahivi anaelekea akhera madukani.
Mkuu,Diwani wa kata yangu, issa Chamajaa. Baba Mudhihir, Tayari wameweza, chezea watu wewe, ujeuri na ubabe wake wote chaliiiii.
Aloooooh!!
Ndio ndio.Muda ni mwalimu mzuri sana kila mtu siku zake ziko counted
😂😂😂 sema unataka kurogwa, wewe.toka hapa... kitoto kidogo kimeiva kwa ulozi.