Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Pole kwa matatizo!
Basi hayaPole kwa matatizo!
May he RIP!
Unazidi kuniteka mzimamzima 🥰 I HATE HAVING TO BE ON THE OPPOSITE SIDE!Basi haya
Pole kwa msiba wa diwaniDiwani wa kata yangu, issa Chamajaa. Baba Mudhihir, Tayari wameweza, chezea watu wewe, ujeuri na ubabe wake wote chaliiiii.
Aloooooh!!
Ahsantee! Nawahi mazishini.Pole kwa msiba wa diwani
Huyu kafanyiwa sayansi, alikua anafanya fujo sana wakati wa kampeni, toka kura za maoni hadi kuelekea uchaguzi mkuu, ni mbabe, jeuri, na mjivuni.Ina maaana pikipiki haikujua ni mheshiwa wa CCM?
Wakunyumba Town KabisaDiwani wa kata yangu, issa Chamajaa. Baba Mudhihir, Tayari wameweza, chezea watu wewe, ujeuri na ubabe wake wote chaliiiii.
Aloooooh!!
Apumzike Kwa Amani ChamajaaHuyu kafanyiwa sayansi, alikua anafanya fujo sana wakati wa kampeni, toka kura za maoni hadi kuelekea uchaguzi mkuu, ni mbabe, jeuri, na mjivuni.
Kakutana na watu.