TANZIA Diwani wa Kata ya Msamala Issa Chamajaa afariki kwa ajali ya Pikipiki

Dah! Kata hii aliyekuwa Diwani wa 2020-2025 ambaye alikuwa Mstahiki Meya aliamua kuacha kutogombea 2025-2030,huenda alikuwa na machale Nduna Mbano!? cocastic
Aliacha kutogombea, si ni huyo Chamajaa alimfanyia figisu huko kwenye vikao vya CCM vya ndani, na kusema eti Mbano, haweki maendeleo msamala anapeleka huko kwao Matogoro, yaan hatari tupu.

Leo yeye kaenda na maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…