TANZIA Diwani wa Kata ya Msamala Issa Chamajaa afariki kwa ajali ya Pikipiki

Huyu kafanyiwa sayansi, alikua anafanya fujo sana wakati wa kampeni, toka kura za maoni hadi kuelekea uchaguzi mkuu, ni mbabe, jeuri, na mjivuni.

Kakutana na watu.
we kila kitu ni sayansi sayansi... unaonekana mshirikina wewe..
 
Hizi pikipiki zitawamaliza aise watu
Mm nna miaka 15 sijagusa
Pikipiki kabisa nliamua kuachana nazo

Ova
halfu hawajifunzi sijui... mtu mita 500 tu anachukua boda.. na uzee huu hata kuendesha sijui... nilizichukia nikiwa kijana sana... i better walk on foot
 
Sana, ni mkorofi, mbabe na jeuri. Watu wamemsafirishaa shwaaaa!!
Sahivi anaelekea akhera madukani.
Muda ni mwalimu mzuri sana kila mtu siku zake ziko counted
 
Huyu hata asipumzike kwa amani, malaika wa shari wampokee alafu Wam-amber ruty kmmk...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…