monga farm
Member
- Jun 25, 2021
- 89
- 163
Ila mie kupigwa vikofi vya Mwanamke navipendaga sana!! tamu au mbaya zaidi akiwa mdogo mdogo weee! raha sana! kupigwa na mwanamke wajameni mweee!! sijui mna nini?? asee![emoji1787][emoji1787]mimi kitu siwezi vumilia ni kipigo, hata kofi tu narudi kwetu kuanza moja
Zilifisika blackberry na nokia mzee zeilikua na assets za matrillioniUrithi waliokuwa nao ni hard assets zinazoleta pesa nyingii.
Hawa urithi wao sio wa kuisha kizembe zembe
Huyo diwani tabata bima ana appartments zaidi ya 40 anakusanya kodi tu.
Bado assets zingine
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee, ila una sound kama mtu ninae kufahamu uwiii naomba isiwe kweli[emoji41]Ila mie kupigwa vikofi vya Mwanamke navipendaga sana!! tamu au mbaya zaidi akiwa mdogo mdogo weee! raha sana! kupigwa na mwanamke wajameni mweee!! sijui mna nini?? asee!
Halafu naonaga mkinuna mnapendeza zaidiii!!.....lkn eti mkiletewa zawadi baasi mnacheka, halafu siku hiyo mmmm! nisiseme sana! eti huwa ni nini ile??
Eti mkirudiga kwenu kwa nini siku nikija kuangukia mnakuwaga na bashasha sana?? ujue mie simuelewagi Ba mkwe, eti sasa sikia mwenzangu...... mie nilienda kuangukia!! siku nafika tu, ba mkwe na mkewe wakaenda shamba!!
tukabaki wenyewe tu home!! usiku eti nikatandikiwa na bibie wajameni si majaribu hayo!! Mbususu imevimba hiyo nikajisemea cha kufia nini mie sogeza fanya kweli, basi ndo ikawa tena! ila kuangukia bana daaa!
usirudiga kwenu!
unasikia! make ni km una anza moja kubwa!
Na wengi wasichokijua Mutta kaishi sana Unyamwezini.Muta karudi,alikuwa unyamwezini [emoji1]
Ova
Waliojifanya wanajua kumtafuta mpaka wakampata kwa ashura sasa hv wamenoa 😆Muta karudi,alikuwa unyamwezini [emoji1]
Ova
Hahaha,unajua nini hii familia hakuna mwenye afadhaliWatoto wa wachungaji huwa wanaandamwa sana na shetani na kama hatua haijachkuliea huyu jamaa hatochukua 5yrs atapotea mazima.Nadhani inatokana na kwamba wakati mchungaji unapambana na shetani na shetani anaona hakuweZi basi anatumia watoto kukudhuri,kuna yule mchungaji /mwalimu mtoto wake alijinyonga so you can imagine pain aliyofeel
Yah,namjua vzr sanaaa na ananijua vzr sanaaNa wengi wasichokijua Mutta kaishi sana Unyamwezini.
Alienda nje kukimbia stress,wale sahv ndg hawaelewani wanna mgogoroWaliojifanya wanajua kumtafuta mpaka wakampata kwa ashura sasa hv wamenoa [emoji38]
Saivi Humphrey ndio ataanza kuonekana afadhali🤣🤣🤣Hahaha,unajua nini hii familia hakuna mwenye afadhali
Muta ndiyo hivyo tena Ana matatizo yake yanajulikana
Ukija kwa tibe naye anasongombigo lake ugomvi kila kukicha na mke wake mkurya.....tib...ashakimbizwa sana na kisu na mke wake mkurya
Ukija yule mtoto wa kike naye mhongaji [emoji1]
Ila familia ni vituko tosha
Pesa ipo lakini hawana raha pesa zinawatesa
Ngoja niendeleee kupiga bia zangu hapa lamamas mikocheni.....aliyekaribu asogeee jamani tupige cheers
Ova
du!! kama kiti moto!!
kanapenda KONYAGIKajamaa kanaonekana kazinzi sana,angalia mdomo na macho yake
kuna siku atapotea kweli mazima.Anapenda kupotea huyu...