Diwani wa Kawe, Mutta Rwakatare adaiwa kupotea tena. Ndugu wamkosa kwa Ashura wa Tabata

Diwani wa Kawe, Mutta Rwakatare adaiwa kupotea tena. Ndugu wamkosa kwa Ashura wa Tabata

Uyu jamaa huu udhaifu anaouonyesha ipo siku atapigwa na kitu kizito
 
Mshahara wa dhambi ni mauti, itakufaidia Nini ukipata wanawake wote duniani, alafu ukatupwa kwenye ziwa la Moto, kifo kinakuja, ipo siku kila mmoja atatoa hesabu ya aliyoyatenda duniani!
Yakobo 4:4
Enyi wazinzi, hamjui ya kwamba kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu? Basi kila atakaye kuwa rafiki wa dunia hujifanya kuwa adui wa Mungu.
Mathayo 16:26
Kwani atafaidiwa nini mtu akiupata ulimwengu wote, na kupata hasara ya nafsi yake? Au mtu atatoa nini badala ya nafsi yake?

Mathayo 16:27
Kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika zake; ndipo atakapomlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake.
Nimependa Maandiko yanajieleza kabisa kuwa kila mtu atalipwa kutokana na matendo yake

Sasa kuna wapuuzi wanasema kuvaa kikahaba sio vibaya kubwa Mungu anaangalia moyo wako Tu, ukweli ni kwamba Mungu anaangalia moyo na matendo yako.

Amekataza uzinzi lakini unavaa katika namna ya kuhamasisha uzinzi halafu unadhani utakuwa salama?

Pumbavu Sana!
 
Mke nae kachoka
 
Attachments

  • IMG-20221117-WA0005.jpg
    IMG-20221117-WA0005.jpg
    52.8 KB · Views: 7
Mbwa kumbwa! Huyu mpuuzi kuna kitu anakitafuta na atakipata hivi punde. Kama hawezi kutulia si aoe tu. Kwani hawa wasichana wote wasiokuwa na waume waliojaa kwenye kanisa la mama yake amekosa hata mmoja wa kumuoa amtulize? [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

View attachment 2419576

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aah manina wallah we konyo
 
Nimependa Maandiko yanajieleza kabisa kuwa kila mtu atalipwa kutokana na matendo yake

Sasa kuna wapuuzi wanasema kuvaa kikahaba sio vibaya kubwa Mungu anaangalia moyo wako Tu, ukweli ni kwamba Mungu anaangalia moyo na matendo yako.

Amekataza uzinzi lakini unavaa katika namna ya kuhamasisha uzinzi halafu unadhani utakuwa salama?

Pumbavu Sana!
2 Wakorintho 7:1
Basi, wapenzi wangu, kwa kuwa tuna ahadi hizo, na tujitakase nafsi zetu na uchafu wote wa mwili na roho, huku tukitimiza utakatifu katika kumcha Mungu.
 
Back
Top Bottom