Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikua natafuta comment yako ili nijue jamaa alipo🤣🤣🤣Kuna tetesi, muta yuko kwa Biden kaenda kurelax [emoji1]
Kifamilia sahv hawako sawa
Ova
Mke wake ana moyo
Kumbe ni Muharamiiii!!Sio kupotea huyo jamaa huwa anakodi hotel anajifungia anakula ngada ana sizi humo hata even week kula poda.. kwa hio mara nying ndugu zake huwa wana track simu yake wanaenda mchukua
Hizo zote ni athari za Marehemu Mama Lwakatare kudhulumu maskini, wajane na wenye shida kwa kujifanya Mchungaji. Mama Lwakatare hakuwa na upako lakini aliweza kufanganya mania ya watu wenye FRUSTRATIONS za maisha kwa kuwatoza sadaka huku akiwaahidi kuwaombea kwa Mungu. HAIWEZEKANI kabisa mtu mchafu kama Mama Lwakatare akuombee na Mungu amsikie, labda mungu wa Baaali.Ndio hivyo kwa yeyote atakayemuona atupe taarifa
Pia soma
- Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa
- Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke
- Diwani Mchungaji Mutta Rwakatare aliyepotea na kukutwa na Polisi kwa mrembo Ashura wa Tabata Dar es salaam aahidi kutopotea tena
View attachment 2419257
Kwakweli, maana akiwaza aondoke alafu afe maskini[emoji1787][emoji1787]Wanawake huwa wavumilivu sana kwenye pesa.
Mama Lwakatare ndie mwanamke tajiri kuliko wote Tanzania.
Hao watoto ni mabilionea
Mke anaanzia wapi kukosa moyo na uvumilivu..
Sio rahisi kupata mume kutoka koo tajiri
Kajamaa kanaonekana kazinzi sana,angalia mdomo na macho
Tako la mtu limeshamchanganya kazi ipo hapo..!Ndio hivyo kwa yeyote atakayemuona atupe taarifa
Pia soma
- Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa
- Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke
- Diwani Mchungaji Mutta Rwakatare aliyepotea na kukutwa na Polisi kwa mrembo Ashura wa Tabata Dar es salaam aahidi kutopotea tena
View attachment 2419257
Kuna vitu ukivitizama kawaida utaona kama masikhara vile ila kiroho hilo ni tatizo kubwaaa.Ndio hivyo kwa yeyote atakayemuona atupe taarifa