Diwani wa Kawe, Mutta Rwakatare adaiwa kupotea tena. Ndugu wamkosa kwa Ashura wa Tabata

Diwani wa Kawe, Mutta Rwakatare adaiwa kupotea tena. Ndugu wamkosa kwa Ashura wa Tabata

#HABARI Mke wa diwani wa Kawe jijini Dar es Salaam Mutta Rwakatare, amekiri kutokujua ni wapi alipo mume wake huyo kwani hadi sasa unakaribia mwezi wa tatu bila diwani huyo kuonekana nyumbani na kusema amechoka na tabia hizo na hatohangaika tena kumtafuta.

#EastAfricaTV
 

Attachments

  • FB_IMG_1668685818543.jpg
    FB_IMG_1668685818543.jpg
    136.2 KB · Views: 6
Sio kupotea huyo jamaa huwa anakodi hotel anajifungia anakula ngada ana sizi humo hata even week kula poda.. kwa hio mara nying ndugu zake huwa wana track simu yake wanaenda mchukua
Kumbe ni Muharamiiii!!
 
Hizo zote ni athari za Marehemu Mama Lwakatare kudhulumu maskini, wajane na wenye shida kwa kujifanya Mchungaji. Mama Lwakatare hakuwa na upako lakini aliweza kufanganya mania ya watu wenye FRUSTRATIONS za maisha kwa kuwatoza sadaka huku akiwaahidi kuwaombea kwa Mungu. HAIWEZEKANI kabisa mtu mchafu kama Mama Lwakatare akuombee na Mungu amsikie, labda mungu wa Baaali.



Angalia sasa yeye mwenyewe kafa kiutaniutani wakati wa korona na kazikwa tu bila heshima na Mwanaye huyo DIWANI Muta anahangaika hivyo. Hivi inakuja kweli akilini mwako mtu ambaye ni mrithi wa St Mary's school, DIWANI wa Kawe na Mchungaji wa Mlima wa Moto akaishi na mateja wala unga? Mkimkuta mara hii mwambieni waachane na Hilo kabisa la kishetani alililoanzisha mama yake
 
Wanawake huwa wavumilivu sana kwenye pesa.

Mama Lwakatare ndie mwanamke tajiri kuliko wote Tanzania.

Hao watoto ni mabilionea

Mke anaanzia wapi kukosa moyo na uvumilivu..

Sio rahisi kupata mume kutoka koo tajiri
Kwakweli, maana akiwaza aondoke alafu afe maskini[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom