Diwani wa Mbagala Kuu, Shabani Othman Abubakari(CCM) afariki dunia akiwa 'guest' na mwanamke

Diwani wa Mbagala Kuu, Shabani Othman Abubakari(CCM) afariki dunia akiwa 'guest' na mwanamke

Nina Mzee Mmoja jirani yangu sasa anaitafuta miaka 80 ila ana Bajeti Maalum ya Kununua Dawa za Kuongeza nguvu za Kiume Wiki mbili nyuma alizimia Gesti ila tunaomjua tukamuwahi na Kumsaidia.

Hivi ninavyoandika aliniaga leo tokea Saa 5 Asubuhi kuwa ana Demu anaenda Kumgonga na hadi Saa 2 hii ya Usiku bado hajarudi Kijiweni Kwetu na taratibu tumeanza Kujigawa katika Kumsaka huku Mimi nikipewa Jukumu la Kupitia Mochwari kadhaa Kuulizia na wengine Kuulizia katika Nyumba za Kulala Wageni.

Mtu unakaribia miaka 80 lakini bado tu unataka Kukatikiwa Viuno na Vibinti vya miaka 21 hivi huku kama si kukitafuta Kifo kwa Makusudi ni nini?

Jamani Wazee tulieni acheni Umalaya!!!!
Mkuu labda anaona anachelewa kufa hivyo anatafuta kisababishi cha kifo.
 
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Mtimika na kuwa mazishi yake yatafanyika leo katika makaburi ya Tanita yaliyopo eneo la Kibonde Maji.

Mmoja wa wahudumu nyumba hiyo ya kulala wageni (jina lake linahifadhiwa) amesema diwani huyo alifika akiwa na gari wakiwa na msichana usiku wa kuamkia juzi na kuchukua moja ya chumba katika nyumba hiyo.

Amesema asubuhi baada ya kuamka wakati akifanya usafi ndipo alipoukuta ufunguo wa chumba alichokuwa amekichukua diwani huyo na msichana huyo ukiwa umetupwa chini ambapo alishituka na kwenda katika chumba hicho na kukuta kikiwa kimefungwa na kilipofunguliwa walimkuta diwani huyo akiwa amefariki lakini yule msichana waliyekuwa naye hayupo.

Muhudumu huyo amesema baada ya kuona tukio hilo walitoa taarifa polisi ambao walifika na baada ya kuwahoji waliuchukua mwili wa marehemu kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Chanzo: Nipashe Online

Hivi nyie Wazee Wetu ( Baba zetu ) kwanini mnaacha Kutulia Majumbani na Mama zetu hadi mnahangaika na ' Vibinti ' vidogo ambavyo hata Sisi Vijana wenu akina Generalist vinatutoa Jasho Vitandani ila huwa tunawaweza tu kwa Msaada wa Vumbi la Kongo?

Poleni sana wana CCM wote pamoja na Mwenyekiti Taifa Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa Kumpoteza Kada huyu kutokana na Uhuni ( Umalaya ) wake huku akijua kabisa hana Pumzi za Kutosha za Kuwajibika Kibaiolojia Kitandani.

Wazee wazima mnaendekeza tu Uhuni!!
Amepata alichotafuta na kuvuna alichopanda. Mizee mingine bwana. Totoz utawaweza wapi na pressure zako.
 
hii dudu ukiipatia chance unatakiwa uichape balabala,kabla yenyewe haijakuwai.pale mzee aliizidisha diko, akiamka popote pale ntamshauri mara nyingine afanye mazoezi pia apige diko tofauti tofauti ili aziipasue kabisa,
 
Back
Top Bottom