Dizasta ni mdogo wa damu wa King Crazy GK aliyechagua kurafikiana na Professor Jay na Mr Ebbo

King Crazy GK atabakia paleeeeee.
Hawa wahun wahuni wako majanga waendelee kukazana kujitafutia ugali wao wasife njaa
 
Vocal haienei kwenye biti...Anakosa hasira za Emcee kutoka street...
Kweli mkuu anapoa sana kwenye uchanaji wake na isitoshe hayuko versatile coz habadiliki kwenye flows zake na uandishi... Pia hana punchlines zaidi ya tuvimaneno ambato ni meaningless
 
Anajiita king of Underground
 
Mimi ni shabiki wake pia.

Hawaombi vocha maduu flan wa high class.

(Hii material ni Top Shelf)
Huu mstari nilitaka nianzishie uzi hapa mkuu..
TUNA DATE
MA GOOD HONEY
MA FINE A$$



Au hapa ulipapata mkuu naona kama kagusia wave-particle duality ya De Broglie
HAPA HAWACHEZI
HAWA MA MUCH KNOW
SIELEWEKI MARA WAVE MARA PARTICLE
 
Mwandishi umetuvuruga sana, mimi nilijua unazungumzia udugu wa damu bn.

Anyway dizasta anafanya mziki ambao unastahili mashabiki wachache wenye uthubutu wa kufikiri. Hivyo ni rahisi sana kwa mtu anaependa rap za kawaida kusema disasta hana maajabu.

Ukiona fid na Prof jize wamenyoosha mikono kwa dogo kwenye uandishi we nani upinge.
 
“Hapa hawachezi hawa ma-much know, sieleweki mara wave mara particle. Tukimsaini sijui ata-change hata kidogo, weeeh kaa na pesa yako halafu nigee heshima yangu Broh!”
Dizasta vina - Top Shelf
 
GK wakishua upanga kitambo mshua yule hata FA N AY wanajua dah huyu ndio sisi aliyetuleta mjini enzi za eastcoast nenda chuo cha biashara pale CBE GK ni kontawa pale yaan mtoto wa mjini kitambo ndio maana wakaingiaga bifu la kibiashara east coast na tmk uswahilini
 
Disasta kaamua kushare Elimu na jamii they guy is very smarter and brilliant.

Kuhusu style yake naona inafaa sana na akiiacha hiyo style hatapoteza uniqueness yake.

Kuhusu namba in digital platforms sometimes number do lie unaweza kuwa na namba nyingi Ila ukawa unaimba ujinga na matusi.

Ukiingia YouTube mambo chanya mengi huwa haya-trend wala hayana views wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…