Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nakuona Dizasta mwenyewe unajipa promoSiwafichi mpaka sasa Dizasta vina anaweza kuwa best real rapper Tanzania....take time umsikilize...Huyu jamaa kanifanya nifute nyimbo zote za wasanii kama kina Fid Q kwenye playlist yangu.
Fid q kapoteza mashabiki lakini saiv si ajabu kukuta hata madem wanaskiza nyimbo zake kutokana na kulegeza sana lakini zaman ilikua nikazi kumkuta hata mwanamke akiskiza propagandaFid q wa sasa hamuwezi one the incredible kwa kuandika
Mbona nyimbo zake hapa tumeshazichambua tu vizuri..Tafuta nyuzi za dizasta vina.Kama nakuona Dizasta mwenyewe unajipa promo
Nikki Mbishi Yupo vyema sana.aisee kwangu mm Nikki mbishi ndo real RAPPER
Yupo vyema Jamaa na umahiri wake zaidi utaukuta katika masimulizi."Story Teller"Kuna jamangu humwambii kitu kuhusu dizasta
Hahahahaa.Kuna jambo dogo ambalo hata watoto hawajajua/kuna joto ila dizasta ni wamoto kushinda jua/
No body is safe.Dizasta anakwambia "Nikiwaka naweza kumgeuza fid akawa sajna"
Kaka,Dizasta, Ghetto Ambassador, One The Incredible, Baba Malcolm, Algebra
Hawa wapo kwenye replay kwa sasa.
Vaa shati kama una scar kwenye tumboHahahahaa.
"Wapinzani mapimbi tu,Wanaukame wa vikombe kama Liverpool"-Harder.
"Sio unajifunza unyama kwa Askari wa Mafunzo"
Halafu jamaa ana swagger kupitiliza, zile za 2Pac za "and I can make you famous".Nikki Mbishi Yupo vyema sana.
Nadhani kwa Tz bongo kizazi chake ni wachache sana wanaweza kulegeza kamba za viatu vyake.
Kila Eneo yupo vizuri mno,Freestyle,Mapenzi,Harakati,Uanfishi ya mashairi,Utundu wa kuchezea maneno(lugha) na Umahiri wa lugha English & Swahili.
Mimi si nawasikiliza tu.Kaka,
Kumbe huwa unawasikiliza hawa wakuitwa "wagumu".
Ongezea Nash Mc na Kad-go.
Kuna msanii mmoja anaitwa Nash Mc(moja ya wasanii ni nao wakubali pia)alikuwa Germany, akapata kuhojiwa na idhaa ya kiswahili DW Bonn-Germany.Baba Malcolm yuko nzuri.
Huwa ananifurahisha anapopiga double decker rhymes on point.