Dizasta Vina anaweza akawa ndio best rapper Tanzania

Dizasta Vina anaweza akawa ndio best rapper Tanzania

Anajua kucheza na lugha, halafu mara atokee msela kupitiliza, mara katokea meneja anawaeleza wenzake jinsi ya kufanya biashara ya muziki, mara katokea kawageuka wahuni anawaponda wanavuta sana, yani mda wowote anaweza kubadilika tu halafu yupo on key.
Kiranga kumbe unaelewa hiphop
 
Kiranga kumbe unaelewa hiphop
Mimi nafuatilia tangu enzi za Afrika Bambaata, X-Clan na Sugar Hill Gang.

We used to chill kwa Kusaga Kijitonyamana Y-Thang na Bony Luv wakati GWM wanarekodi "Cheza Mbali na Kasheshe".

Enzi za Kim Mgomelo na Yo Rap Bonanza mpaka kwenye mashindano tumo.

Sugu anaingia mjini tumemkaribisha.

Marehemu Steve2K(RIP) mimi ndiye nimemuonesha studio Dar.

Enzi hizo marehemu Chifupa mpiga simu tu anataka tiketi za concerts!

Basi tu tumekimbia viwanja vikubwa.
 
Mimi nafuatilia tangu enzi za Afrika Bambaata, X-Clanna Sugar Hill Gang.

We used to chill kwa Kusaga Kijitonyamana Y-Thang na Bony Luv wakati GWM wanarekodi "Cheza Mbali na Kasheshe".

Enzi za Kim Mgomelo na Yo Rap Bonanza mpaka kwenye mashindano tumo.

Sugu anaingia mjini tumemkaribisha.

Basi tu tumekimbia viwanja vikubwa.
Heshima yako mkuu,sugu akatapeliwa ushindi na kwanza unit hahaha
 
Siwafichi mpaka sasa Dizasta vina anaweza kuwa best real rapper Tanzania....take time umsikilize...Huyu jamaa kanifanya nifute nyimbo zote za wasanii kama kina Fid Q kwenye playlist yangu.
Huyo mwamba ni nomaa
 

Attachments

Dizasta anajua sana tu but iki kichwa cha ngosha the don pita mbali aisee nakushauri tafuta nyimbo zake kama 10 Ivi msikilize vizuri usipofuta za dizasta bus utakua unalazimisha dirisha kua mlango
 
ni hisia zako tu mkuu zilizokusukuma kufuta nyimbo za fid q nakuhusu kuwa rapper mahili pia bado anasafar ndefu kidogo aisee.....
ila dizasta vina kwenye wimbo wa kanisa ameongea vitu muhimu kule
Ana vina safi ila ngosha ni shidaa jamani huyu jamaa apingiki nna imani ata dizasta kwenye cm yake ringtone ni nyimbo ya ngosha
 
Dizasta anajua sana tu but iki kichwa cha ngosha the don pita mbali aisee nakushauri tafuta nyimbo zake kama 10 Ivi msikilize vizuri usipofuta za dizasta bus utakua unalazimisha dirisha kua mlango
Tafuta 10 tu za zamani
 
We utakuwa promoter wa Dizasta si bure..., unapozungumzia hiphop bongo, usitaje kabisa jina la Fiq hilo liache lina heshima yake. Taja wengine wengine hawa, ndio Fid hakazi hasa siku hizi ila legacy yake bado hautafutika kirahisi kama Ngwair. Hebu tafuta track zake za tangu miaka ya 2000 utapata majibu, au uliza kwa kina Majani na Master J uone kama kuna ambaye atamfanisha Fid na watoto wa leo
 
labda fidq na sio Fid Q ambaye ni Farid Kubanda a.k.a Ngosha Godfather wa hiphop bongo
 
Nilidhan unazungumzia disaster ya MV NYERERE kumbe unamaanisha dizaster msanii....hebu tupia nyimbo yake niisikie maana hilo jina ndo nalisikia leo
 
Back
Top Bottom