Dizasta Vina anaweza akawa ndio best rapper Tanzania

Hatari sana uyo jamaa...sasa sikiliza verse yake kwenye 'wrong dude' ya dizasta vina...utakoma kwa words play
Upepo ni kumbunga/ mchawi ni kimbunga/ oya nakupungia nawewe mwana punga/..
Aisee nikki mbishi ni hatari jamani..
 
Siwafichi mpaka sasa Dizasta vina anaweza kuwa best real rapper Tanzania....take time umsikilize...Huyu jamaa kanifanya nifute nyimbo zote za wasanii kama kina Fid Q kwenye playlist yangu.
 
Sasa Fid nae kwasasa utasema ni Rapper?? Dizasta ni mzuri ingawa nae pia atakuja kubadilika kama Joh! Kwangu JCB bado ni Rapper bora Bongo na anaefuata misingi!
 
For sure dizasta ni nomaa kwa vina kuntu,, ila ndio hivo ana airtime ki bongo bongo
 
Siwafichi mpaka sasa Dizasta vina anaweza kuwa best real rapper Tanzania....take time umsikilize...Huyu jamaa kanifanya nifute nyimbo zote za wasanii kama kina Fid Q kwenye playlist yangu.
Sawa,
Screenshot_20180922-183200.jpg
 
Vip Chindoman mkuu..naona sometimes anakaza sometimes analegeza
Sasa Fid nae kwasasa utasema ni Rapper?? Dizasta ni mzuri ingawa nae pia atakuja kubadilika kama Joh! Kwangu JCB bado ni Rapper bora Bongo na anaefuata misingi!
 
Upepo ni kumbunga/ mchawi ni kimbunga/ oya nakupungia nawewe mwana punga/..
Aisee nikki mbishi ni hatari jamani..
Hahaha,,

Mapangala samba/
Brazili samba/
Mbishi anatamba
na sultan tamba/

Bomoabomoa X/
Picha za ngono X/
Hata mpenzi wa zamani X/
 
Haya mashairi ya dizasta vina niliyapigia saluti ukichanganya na njisi alivyokuwa akinata na biti hatari tupu aisee.

Napata hasira natamani kuropoka/
Nikikumbuka walikopelekwa wenzangu naogopa/
Familia yangu na Taifa vinaongozwa na woga/

Sauti hii iwaguse Mfano wa mikuno/
Mikuno ya sauti nyingi zinazozimwa na mifumo/
Nahaiwezi kusikika tukisema yaliyotusibu/
Sisi hatuna haki yoyote mwenye nayo ajaribu/

Rest in peace dingi natamani nije/
Natamani kufa,natamani ninge/
Natamani nile/

Ninavyeti sina kazi jimama nitongoze/
Nipe ngoma kisha nife/

The lost one,no direction no internal peace no love no money no life no everything no even word of inspirations no purpose.

Pesa imenifanya nageuka nuksi napoikosa/
Dada zangu wamewekeza uchi kwa vibopa/
 
Wimbo gani huo wa dizasta
 
Back
Top Bottom