Dizasta vina - Hatia V

Hatia hii sijaisikia ngoja niitafute nimeskiliza zile za Mwanzo Hatia 1-3
 
DIZATA VINA, NI MTU MBAD SANA, JAMAA ANAJUA MPAKA ANAJUA TENA
 
Hatia V. Bado nimeishia 4 ngoja nitarudi
 
Ngoma kali kama magu na samia hivi ila inakataa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila sio
 
Ndio msanii wa kwanza nina album zake zote 3
 
Binafsi sijaona Kama dizasta n msanii mkali wa hip-hop Kama inavojaribu kutajwa humu.
Kwani Hana hit song ambayo imetoboa nje ya jamii ya wapenda hip-hop yaani kwa wale wasiokua mashabiki Lia Lia wa hip-hop...
Ngoma ambayo ilifanya vizuri kwenye platform mbalmbali Ni kanisa tu. Hizo zingine bado ziliishia kwetu tu wapenda hip-hop nazani Ni Muda Sasa ajitafute afanye muziki unaopenya kila angle...
Angalie kina Nikki mbishi, young killer, nash-mc, one hata stereo waliwezaje...
 
Kama haiwashiki basi hawahusiki na haitowasaidia~ (One -Kivyovyote)

Point yangu ni kwamba, kama mtu ni mdau wa hip hop hawezi kupitwa na ngoma yoyote ya huyu jamaa. Ukiona mtu anasubiri hit song basi huyo ni "Shabiki rukia rukia"/ "Shabiki waru waru".
 
That's very sure, Dizasta ni wamoto kushinda Jua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…