Dizasta vina - Hatia V

Dizasta vina - Hatia V

Dizasta ni genius, ni Messi wa Rap.

Hatia V ni Masterpiece,
lakini kwa mtazamo wangu katika mfululizo wa hizi Hatia (Hatia 1-5), hatia 4 itabaki kuwa kali zaidi.
hatia iv ni wimbo na nusu, stori vina na flow ilikua moto
 
Binafsi sijaona Kama dizasta n msanii mkali wa hip-hop Kama inavojaribu kutajwa humu.
Kwani Hana hit song ambayo imetoboa nje ya jamii ya wapenda hip-hop yaani kwa wale wasiokua mashabiki Lia Lia wa hip-hop...
Ngoma ambayo ilifanya vizuri kwenye platform mbalmbali Ni kanisa tu. Hizo zingine bado ziliishia kwetu tu wapenda hip-hop nazani Ni Muda Sasa ajitafute afanye muziki unaopenya kila angle...
Angalie kina Nikki mbishi, young killer, nash-mc, one hata stereo waliwezaje...
Huyu ni Mcee kumbuka
 
Back
Top Bottom