Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
ππππ Ungeangalia interview yake pale doble XL ungepata kitu.Jamaa anajua sana jana nimemsikiliza kwenye pc nikapost sana kule selfika Ngoma yake ya mlemavu kalii sana
Kacheki selfika jana kaka nimemsikiliza sana nikapost na mashairi yake jamaa anajua sana yaani sanaππππ Ungeangalia interview yake pale doble XL ungepata kitu.
Aliielezea hiyo ngoma...
Usipojua kupenda wewe ni mlemavu
Karibu sana kaka panorama authentic ππππKacheki selfika jana kaka nimemsikiliza sana nikapost na mashairi yake jamaa anajua sana yaani sana
Thanks brotherKaribu sana kaka panorama authentic ππππ
πππ 'akasema kama ni muuaji nitafurahi kufia mikononi mwako'Vinaaaaaa
Philosophy of mad man