Dizasta vina

Dizasta vina

"Hii ni photon even clock never clock here."
πŸ‘†Line hii ipo kwenye Ngoma ya #TopShelf

Photon ni punje ya mwanga ambapo katika ulimwengu wa punje ndogo yaani "quantum level" mudΓ  huwa unasimama. Ndio maana anasema "even clock never click here" kuuelewa huo mstari inatakiwa uwe umepiga physics ya university level na zaidi kuwa na deep knowledge ya fizikia ya mwanga ( Physics of Light).
 
Back
Top Bottom