Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
ππππ Ungeangalia interview yake pale doble XL ungepata kitu.Jamaa anajua sana jana nimemsikiliza kwenye pc nikapost sana kule selfika Ngoma yake ya mlemavu kalii sana
Aliielezea hiyo ngoma...
Usipojua kupenda wewe ni mlemavu