Dj AD Mafuvu aacha kazi EATV / EA Radio


Kula like mkuu...umeongea point kinoooma
 
acha tubak na dj Mckay* ata yeye yuko vizur tu
 
jamaa me namsikia kwenye radio moja ya kenya inaitwa Hot 96
 
ku-blame waajiri wako wa zamani si vyema hasa kama umeamua mwenyewe kuacha kazi unaweza kuwaambia fans wako "sipo tena kazini baada ya mkataba wangu kumalizika na kushindwa kufikia makubaliano juu ya mkataba mpya" simple tu kama hivyo basi una songa mbele na changamoto mpya.
 

Hivi mkuu huyu mafuvu ndie yule alokuwa anazunguka kwenye KTMA na wasanii au nimemchanganya?
 
mafuvuu beeiiby!! Jambaz sharobaloo kale shavu sehem nyngnee mzaz
 

Ipp media mishahara kiduchu mno,usitishike na jina kubwa..
 
Shukrani ya punda.....umemsahau ndugu yako musa uswazi aliyekupeleka hapo Eatv

Adolf Mawazo. . hacha jeuri wewe, ndio ni jitihada zako ila bila hao jamaa ulikuwa umeshaferi maisha at least now una Saloon kubwa,gari na Music system..
Rudi nyuma kumbuka the time wen you played for free ulivorudi toka Arusha kuresiti form four with failure result.... cha msingi wewe waage vizuri ili uko mbele mungu azidi kukujalia...bravo braza
 
Just like what they did to millard Ayo,regina mwalekwa,and Mussa!!

Kesho utasema BBC ni wabaya...then utaulizwa BBC wanahusikaje hapo ? utasema, just like what they did to Charles Hilary, Regina Mziwanda, and Anold Kayanda.
 
Kesho utasema BBC ni wabaya...then utaulizwa BBC wanahusikaje hapo ? utasema, just like what they did to Charles Hilary, Regina Mziwanda, and Anold Kayanda.

Ha ha ha haaa!!
 
ni kweli huyu jamaa sasa ni R-Dj ndani ya 93.7 fm E?
 

Na Tanzania hua hawalipi kwa elimu uliyonayo nchi zilizoendelea ndo hua zinafanya hivyo
 

Nakubaliana na wewe kuacha kazi sehemu na kuwakejeli waliokua wamekuajiri sio jambo zuri hata kidogo

Lakini pia sikubaliani na wewe kumshambulia mafuvu kujiona maarufu wakati eat radio ndio wamemtoa na kuwa anahitaji mshahara mkubwa wakati hana elimu

Mafuvu kupatia umaarufu Eatv hakumfanyi kuwa mtumwa asiyetambua thamani yake, wakati anatengeneza jina eatv nao walikua wanatengeneza kupitia yeye pia, so ni haki yake kuona malipo hayaendani na alichojitengeneza(brand) wakati anafanya kazi.
Mwisho hizi habari za hana elimu wakati mwingine tuziangalie kwa mapana yake na haswa kwenya nyanja ya burudani na michezo sababu moja ya watu wanaoongoza kwa vipato vikubwa kabisa bila kwenda shule ni watu wa nyanja hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…