Wow. Sikuwa na habari kwamba mnamfahamu. Kumbe movies zake zimefika Bongo? Alrrrrrright hio ni poa.Baadhi yetu wabongo tunamjua, jamaa yuko poa sana, anachomekeaga vikolombwezo vyake kwenye movie, ananogesha ile mbaya,.
Hata kama movie inaboa, DJ Afro anafanya iwe interesting.
Namkubali sana
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Zinafika,Wow. Sikuwa na habari kwamba mnamfahamu. Kumbe movies zake zimefika Bongo? Hio ni poa.
Nimemfahamu huyu jamaa miaka ya 2009 enzi hizo Ong Back "tembo wangu" inatambaWow. Sikuwa na habari kwamba mnamfahamu. Kumbe movies zake zimefika Bongo? Alrrrrrright hio ni poa.
Mtanzania mgani anamfahamu huyu DJ wetu pendwa anayeitwa DJ Afro? Movies zake zimefika huko kwenu? Netflix imeamua imtumie kujiadvertise maana anapendwa sana huko vijijini na vitongojini.
Halafu Kenya ndio nchi pekee ya Afrika ambapo Netflix ni free. Yaani unadownload netflix app na unaweza kutazama robo (1/4) ya movies bila malipo.