DJ Afro amepata deal na Netflix

DJ Afro amepata deal na Netflix

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Mtanzania mgani anamfahamu huyu DJ wetu pendwa anayeitwa DJ Afro? Movies zake zimefika huko kwenu? Netflix imeamua imtumie kujiadvertise maana anapendwa sana huko vijijini na vitongojini.

Halafu Kenya ndio nchi pekee ya Afrika ambapo Netflix ni free. Yaani unadownload netflix app na unaweza kutazama robo (1/4) ya movies bila malipo.
 
Baadhi yetu wabongo tunamjua, jamaa yuko poa sana, anachomekeaga vikolombwezo vyake kwenye movie, ananogesha ile mbaya,.

Hata kama movie inaboa, DJ Afro anafanya iwe interesting.
Namkubali sana

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Wow. Sikuwa na habari kwamba mnamfahamu. Kumbe movies zake zimefika Bongo? Alrrrrrright hio ni poa.
 
Thats good for him. I grew up watching DJ Afro movies and still watch them to date. Quite an entertaining guy.
 
Nitamtafuta weekend hii kwenye Netflix.

Mtanzania mgani anamfahamu huyu DJ wetu pendwa anayeitwa DJ Afro? Movies zake zimefika huko kwenu? Netflix imeamua imtumie kujiadvertise maana anapendwa sana huko vijijini na vitongojini.

Halafu Kenya ndio nchi pekee ya Afrika ambapo Netflix ni free. Yaani unadownload netflix app na unaweza kutazama robo (1/4) ya movies bila malipo.
 
Namkubali huyu mwamba Sana,movie akianza kuipamba hata iwe mbovu utapenda kumaliza kuangalia.
 
Huyu jamani ni mtu wa ovyo sana nahisi Netflix wameweka kama ni kitu cha kituko

Matusi
 
Mbona kwenye Netflix hayupo?
 
Attachments

  • Screenshot_20211020-023620_Netflix.jpg
    Screenshot_20211020-023620_Netflix.jpg
    64.3 KB · Views: 5
Toka Mwaka 2011 napendaga sana Movie alizotafsiri huyu Mwamba Japo kuna kipindi alikuwa anachanganya na Matusi ila siyo mbaya yuko poa sana
 
Back
Top Bottom