Dj Ally ni nani?

Dj Ally ni nani?

U-DJ unalipa sana
Unalipa temporary na hawa vijana wetu wa sasa wasipowekeza itawapa shida mapema. Huu udj wa kupiga kwenye ma bar tena hakuna kiingilio unaenda na trend, wakija wengine na vitu tofauti hupati tena gigs.

Tatizo wengi wanapumbazwa na hizi weekly events za kwenye mabar wanasahau kuwekeza kwa fans. Ndio maana hawawezi kuandaa events zao zenye kiingilio ambazo ndio zitawapa fans wa kudumu.

Unafikiri Dj Peter Mo, Boniluv na JD wamezaje kutengeneza fans base hadi leo? Hao fans wao ni wale wale waliokula raha kwenye events zao kumbi mbalimbali. Wamekuwa na radio shows masaa ya kutosha kuonesha skills. Inabidi na hawa wa sasa warudishe hiyo influence itawasaidia baadae.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Dj Peter Mo, Boniluv na JD
Aisee hawa jamaa ni Djz wakali sana, ni uchafu kuwafananisha na kina Dj Ommy crazy sijui DJ spurs i speak from exprience nimehudhuia gigs za kila mkoja hapo na nimesikiliza show zao kwenye radio/TV....jamaa wako tofauti sana kwenye vionjo, wanaujua muziki from the roots na kwa hakika hawa ndio wanauishi muziki na ndo maisha yao.
 
nyie tena kwa ushauri sasa, mwacheni jamaa ndio time yake nae, msubirini afulie mmseme tena
 
Sema huyu Dj anajiweka kwenye spotlight ambayo sio nzuri.

Kugawa hela barabarani hata kama unagawa elfu hamsini tu sidhani kama ni sawa, anajitaftia matatizo mwenyewe kwenye mambo ya Kodi na vingine. He should stop
 
Aisee hawa jamaa ni Djz wakali sana, ni uchafu kuwafananisha na kina Dj Ommy crazy sijui DJ spurs i speak from exprience nimehudhuia gigs za kila mkoja hapo na nimesikiliza show zao kwenye radio/TV....jamaa wako tofauti sana kwenye vionjo, wanaujua muziki from the roots na kwa hakika hawa ndio wanauishi muziki na ndo maisha yao.

Akikua ataacha. Hata P Funk Majani alikuwa anarusha hela kwenye concert za Juma Nature. Lakini sijui kama siku hizi anaweza kufanya upuuzi kama huo
 
Sema huyu Dj anajiweka kwenye spotlight ambayo sio nzuri.

Kugawa hela barabarani hata kama unagawa elfu hamsini tu sidhani kama ni sawa, anajitaftia matatizo mwenyewe kwenye mambo ya Kodi na vingine. He should stop
Nakazia
 
Bongo bhana Kila UKITAKA upenetrate Kuna kauzibe mtu ANATAKA akuchimbe ila jamaa tayari ni staa
 
Back
Top Bottom