MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Unalipa temporary na hawa vijana wetu wa sasa wasipowekeza itawapa shida mapema. Huu udj wa kupiga kwenye ma bar tena hakuna kiingilio unaenda na trend, wakija wengine na vitu tofauti hupati tena gigs.U-DJ unalipa sana
Tatizo wengi wanapumbazwa na hizi weekly events za kwenye mabar wanasahau kuwekeza kwa fans. Ndio maana hawawezi kuandaa events zao zenye kiingilio ambazo ndio zitawapa fans wa kudumu.
Unafikiri Dj Peter Mo, Boniluv na JD wamezaje kutengeneza fans base hadi leo? Hao fans wao ni wale wale waliokula raha kwenye events zao kumbi mbalimbali. Wamekuwa na radio shows masaa ya kutosha kuonesha skills. Inabidi na hawa wa sasa warudishe hiyo influence itawasaidia baadae.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app