Nobunaga
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,205
- 5,121
Mzee wa Nasemajeeee...
Mizuka ya huyu mwamba ni next level..
Ndiyo Dj anayetrend zaidi kwa sasa kutokana na style yake ya kupiga miluzi mingi pindi anaposherehesha.
Hajaajiriwa na kituo chochote cha radio au tv, bali anapiga mixing kali kwenye kumbi mbalimbali za starehe na burudani hasa hasa Wavuvi Camp.