DJ Fetty ana-fit kila kipindi

DJ Fetty ana-fit kila kipindi

Cha msingi tunachoangalia ni content kichwani na kipindi husika hayo mengine ni yake….

Mfano tumchukue Adam Xxl tumuweke PB unajua kitakachotokea Ndugu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Twende kwa vigezo kuhusu tasnia na maudhui kosoa kwa ueledi weka dimensions/indicators.
 
DJ Fetty ni nani hapa nchini?

Ana umuhimu gani kwenye Royal tour?

Faida yake ni ipi kwa Taifa?
 
Kupwaya compare na standard yake mwenywe, yaan kuna level ambayo amefikia tulitamani kuona na huku akifanya
Hujajibu kupwaya sio jibu unaona ukosoaji ulivomgumu, maarifa ni muhimu sana Multitasking doesn't with perfection of 100% , dual tasking adds value to employers and those who need her the severally we are happy multiple roles on air ili tufaidi zaidi and She is hot hot and Super, CMG siwapendi but I love fetty so namsikiliza yeye akimaliza naachana na hio virus ya bongo flavour
 
power braekfast nafikiri aimfai ni kipindi kinachotaka utulivu na mtu mwenye kujua vitu vingi well informed ni show ambayo mtangazaji anatakiwa kuwa mtulivu
Tofauti yake na Babra pale ni ipi?.

Naona ni kama mmeamua kuongean tu maana hakuna mambo ngumu kivile..kama ni suala la ufafanuzi kitaalamu nadha huwa wanawasiliana na Wataalamu kufafanua na si kazi ya Mtangazaji.
 
fatuma yuko vizuri sana sana sana sana .... hakika anaupiga mwingi ..... nakumbuka clouds walikosea kumuweka mina ally na millard ayo wakaligundua hilo wakamtoa yule binti
 
fatuma yuko vizuri sana sana sana sana .... hakika anaupiga mwingi ..... nakumbuka clouds walikosea kumuweka mina ally na millard ayo wakaligundua hilo wakamtoa yule binti
Kwa mina na millard mbonasikuona kasoro au walikuwa very emotional sana
 
Pamoja nakuibia ibia kusikia fm redio(nishapunguza kwa asilimia kubwa kuwasikiliza watangazaji vichwa maji/mbumbumbu,wavivu wa tafiti,uwezo mdogo kichwani ambao ndio wengi waliojaa radio za Tanzania) ...DJ Fetty uwezo mdogo sana wa maarifa ,taarifa kichwani,kuchanganua na kutafakari mambo haswa ya kijamii!!...anahitaji kufanya jitihada kubwa sana.
 
Back
Top Bottom