Huu ni utetezi wa kijinga kabisa kutoka kwa mtu anaye jiita mtangazaji! Makosa ya Sugu hayamfanyi Shilole awe sahihi!
Yani wana mtetea mtu kwa kusema mbona mwingine alifanya? Teh Teh..Sasa nimeelewa nani walimpa kichwa Shilole na asitoe maelezo kwa Basata!
Huu ni utetezi wa kijinga na nina mshauri Shilole asikubali utetezi wa namna hii mchuma janga hula na wa kwao!
BASATA ni baraza la majungu tu basi
Mwanasheria 1st class UDSM, Willium Ngereja alipohojiwa kuhusu kuchukua mgao wa escrow, alijibu mbona na Zitto alichukua? Kwa hiyo mkuu hayo ndio majibu ya waTanzania walio wengi, kama msomi anajibu hivyo vipi kwa huyo mbulumundu??