Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shilole ndo yule anayedunda wanaume?
hiyo adhabu ya kijinga huwexi kufungia mtu mwaka mmoja,sasa yeye stakula wapi keann waxingemtoza fine ?
Ngeleja ni product ya UDSM lakini sio 1st Class mkuu
Kwahiyo kwakuwa Ngeleja alisema hivyo kwahiyo ni halali kwa Fetty kufanya hivyo,?? ha ha ha.
cc: Ruttashobolwa
Inatibidi tuangalie na uwezo wa mtoa hoja yaani Dj. Fetty. Ana uwezo mdogo wa kufikiri, ni mtoto ki umri na hana shule. Naona kwa uwezo wake yupo sahihi.
BASATA wapo sahihi, nawaomba huu uwe mwanzo na uwe endelevu ili kuepusha hoja za vilaza siku zijazo.
Ila mbona kuna picha za wanenguaji huwa zinasambaa wamekaa kwenye steji na hawajavaa kofuli, nanihii ziko wazi hadi utumbo unaonekana?au wale sio watz?
Mwisho wa siku ni muhimu sheria ikawa msumeno na kukata bila kuangalia sura.
mkuu hadi utumbo????
Huyu eti ni mtangazaji, tena eti ni."graduate". Hivi shule alikwenda kujifunza ujinga ?(as FaizaFoxy always ask)
Kutokuchukuliwa hatua kwa "anti virus" HAKUHALALISHI kosa la shilole! Shilole AMEKOSEA, na alipewa nafasi ya kujieleza lakini ALIKAIDI(Kwa mujibu wa barua ya BASATA), Sasa mlitaka BASATA wafanyeje?
Watanzania bwanaaaa...shilole alipoonyesha "MEWATA" hadharani mlilaani kwelikweli humu, leo kachukuliwa hatua mnalalamika, mlitakaje?alishakanywa before na bado akawa anaendelea.
Hivi ikiwa kweli lile tukio lilikuwa bahati mbaya, je baada ya nguo kuachia alikatisha show kwa muda na kwenda kujistiri au aliendelea kupiga mzigo?......she is "un.civi..li..zed" huo ndio ukweli. Acha yamkute.
mkuu Fetty ni degree holder sio kwamba hana shule kama unavyodai
Interest yangu ni hapo kwenye Graduate. Huyu si jina lake anaitwa Fatuma Hassan, alishiriki chuo kikuu cha Tumaini, Kampasi ya Dar es salaam pale Mikocheni (Barabara ya kuelekea Cocacola), na miongoni mwa Lecturers wake wa somo la Mass communication alikuwa ni Godwin Gondwe na kuhitimu mwaka wa masomo 2013/2014?!!!
Naomba nimuhifadhi...
Usiongee usilolifahamu. Sio kila mwanachuo ni Degree Holder mkuu. Wengine tunamfahamu coz tulisoma nae pale chuoni, so tukiona vitu kama hivi tuna-refer tu na kumwombea kwa Mungu 'kimya kimya'.
Kama vipi kausha mumy..
hiyo adhabu ya kijinga huwexi kufungia mtu mwaka mmoja,sasa yeye stakula wapi keann waxingemtoza fine ?
On Instagram:
@Thebestfetty; "Zilitoka mixtape za matusi za ANTI VIRUS vol 1 na 2, BASATA ilikaa kimya na ilitoa kibali cha uzinduzi wa anti virus volume 2, Viwanja vya posta, licha ya kuwepo kwa malaamiko. SWALI ni, kifungu kilichotumika kumhukumu ni kuwa UCHI au ni UVUNJAJI WA MAADILI????".
=====
Dada naona ana hasira na Vinega.