Dj Fetty awachana BASATA

Dj Fetty awachana BASATA

bizzle11

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
246
Reaction score
198
On Instagram:

@Thebestfetty; "Zilitoka mixtape za matusi za ANTI VIRUS vol 1 na 2, BASATA ilikaa kimya na ilitoa kibali cha uzinduzi wa anti virus volume 2, Viwanja vya posta, licha ya kuwepo kwa malaamiko. SWALI ni, kifungu kilichotumika kumhukumu ni kuwa UCHI au ni UVUNJAJI WA MAADILI????".

=====

Dada naona ana hasira na Vinega.
 
Huu ni utetezi wa kijinga kabisa kutoka kwa mtu anaye jiita mtangazaji! Makosa ya Sugu hayamfanyi Shilole awe sahihi!

Yani wana mtetea mtu kwa kusema mbona mwingine alifanya? Teh Teh..Sasa nimeelewa nani walimpa kichwa Shilole na asitoe maelezo kwa Basata!

Huu ni utetezi wa kijinga na nina mshauri Shilole asikubali utetezi wa namna hii mchuma janga hula na wa kwao!
 
Mwanasheria 1st class UDSM, Willium Ngereja alipohojiwa kuhusu kuchukua mgao wa escrow, alijibu mbona na Zitto alichukua? Kwa hiyo mkuu hayo ndio majibu ya waTanzania walio wengi, kama msomi anajibu hivyo vipi kwa huyo mbulumundu??
 
Fetty namkubali sana. Ila naona kama wanampigia pande Shilole for the sake of Fiesta maana ndio msimu wenyewe huu mwaka nmoja sio mchezo cheap labour watapata wapi tena? hahahaha
 
Ndio utetezi wa watanzania mbona na fulani alifanya.......huu ni upuuzi fetty nae anatuletea usasa
 
Huyu eti ni mtangazaji, tena eti ni."graduate". Hivi shule alikwenda kujifunza ujinga ?(as FaizaFoxy always ask)

Kutokuchukuliwa hatua kwa "anti virus" HAKUHALALISHI kosa la shilole! Shilole AMEKOSEA, na alipewa nafasi ya kujieleza lakini ALIKAIDI(Kwa mujibu wa barua ya BASATA), Sasa mlitaka BASATA wafanyeje?

Watanzania bwanaaaa...shilole alipoonyesha "MEWATA" hadharani mlilaani kwelikweli humu, leo kachukuliwa hatua mnalalamika, mlitakaje?alishakanywa before na bado akawa anaendelea.

Hivi ikiwa kweli lile tukio lilikuwa bahati mbaya, je baada ya nguo kuachia alikatisha show kwa muda na kwenda kujistiri au aliendelea kupiga mzigo?......she is "un.civi..li..zed" huo ndio ukweli. Acha yamkute.
 
Fetty yuko kazin katumwa na maboss wake. Haingii akilini uwe mwandishi na umesomea utetee upuuzi huo.. Na mbaya zaidi kwa kubun buni kabla hujawahoji BASATA Usikie upande wa pili
 
Mwanasheria 1st class UDSM, Willium Ngereja alipohojiwa kuhusu kuchukua mgao wa escrow, alijibu mbona na Zitto alichukua? Kwa hiyo mkuu hayo ndio majibu ya waTanzania walio wengi, kama msomi anajibu hivyo vipi kwa huyo mbulumundu??

Kwahiyo kwakuwa Ngeleja alisema hivyo kwahiyo ni halali kwa Fetty kufanya hivyo,?? ha ha ha.
cc: Ruttashobolwa
 
Last edited by a moderator:
Mwanasheria 1st class UDSM, Willium Ngereja alipohojiwa kuhusu kuchukua mgao wa escrow, alijibu mbona na Zitto alichukua? Kwa hiyo mkuu hayo ndio majibu ya waTanzania walio wengi, kama msomi anajibu hivyo vipi kwa huyo mbulumundu??

Ngeleja ni product ya UDSM lakini sio 1st Class mkuu
 
hiyo adhabu ya kijinga huwexi kufungia mtu mwaka mmoja,sasa yeye stakula wapi keann waxingemtoza fine ?
 
BASATA wendawazimu tu, sasa Shilole akialikwa kupiga show Burundi watamfuata kumkamata au watamsubiri airport?
 
Inatibidi tuangalie na uwezo wa mtoa hoja yaani Dj. Fetty. Ana uwezo mdogo wa kufikiri, ni mtoto ki umri na hana shule. Naona kwa uwezo wake yupo sahihi.

BASATA wapo sahihi, nawaomba huu uwe mwanzo na uwe endelevu ili kuepusha hoja za vilaza siku zijazo.
 
Back
Top Bottom