Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nani huyo DJ??Dj George Nzunda afariki dunia
Dj George Nzunda amefarki dunia Ijumaa jioni na kuzikwa makaburi ya Kinondoni Jana J3. Aliugua ghafla kuanzia Alhamisi. Mungu amlaze mahali pema peponi.......AMEEN
Malizia.......enzi za kilimanjaro Pool side.Huyu alikuwa ndio waanzilishi cloud disko alikuwa akipiga disko na Joseph Kusaga na Bony love miaka ya tisini mwanzoni. Baadaye miaka ya tisini katikati alienda Uk alirudi Tanzania miaka 10 iliyopita na kufanya shughuli zake binafsi