Dj George Nzunda afariki dunia

Dj George Nzunda afariki dunia

Rukwa21

Senior Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
142
Reaction score
42
Dj George Nzunda afariki dunia

Dj George Nzunda amefarki dunia Ijumaa jioni na kuzikwa makaburi ya Kinondoni Jana J3. Aliugua ghafla kuanzia Alhamisi. Mungu amlaze mahali pema peponi.......AMEEN
 
Background info kidogo ingesaidia. Alikuwa wa wapi? Alikuwa anafanyia chombo gani cha habari... n.k. Sasa wewe umeassume kama vile wote tunamfahamu. Anyway apumzike kwa amani. Ametangulia tu and we are right behind him...
 
Dj George Nzunda afariki dunia

Dj George Nzunda amefarki dunia Ijumaa jioni na kuzikwa makaburi ya Kinondoni Jana J3. Aliugua ghafla kuanzia Alhamisi. Mungu amlaze mahali pema peponi.......AMEEN
Ndio nani huyo DJ??
Alikua anapiga mziki kituo gani??
Wengine humu hata huko Kinondoni Darisalama hatujawahi kufika mkuu, tumeishia tegeta kibaoni
 
Huyu alikuwa ndio waanzilishi cloud disko alikuwa akipiga disko na Joseph Kusaga na Bony love miaka ya tisini mwanzoni. Baadaye miaka ya tisini katikati alienda Uk alirudi Tanzania miaka 10 iliyopita na kufanya shughuli zake binafsi
 
Malizia.......enzi za kilimanjaro Pool side.
 
Back
Top Bottom