TCleverly
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,921
- 871
kumfananisha DJ JD na mkongwe BONNY LUV sio tu kumshusha hadhi BONNY bali unaonyesha na wewe umejua madisco juzi ingawa kwa maneno yenu mnaona kama mmeujua muziki au disko siku nyingi.....hao watu wako ligi tofauti kabisa...BONNY LUV yuko level ingine....kwa kizazi chenu cha disko bilicanas,mambo club DJ JD ni mkali ila ukizungumzia ukongwe na kujua muziki DJ JD ni rookie.....na wengi mnaonyesha hamumjui BONNY LUV mngemjua msingemfananisha na DJ JD.