Dj JD a.k.a the legendary Is back...th finest and greatest in town...who is your best ever dj??

kumfananisha DJ JD na mkongwe BONNY LUV sio tu kumshusha hadhi BONNY bali unaonyesha na wewe umejua madisco juzi ingawa kwa maneno yenu mnaona kama mmeujua muziki au disko siku nyingi.....hao watu wako ligi tofauti kabisa...BONNY LUV yuko level ingine....kwa kizazi chenu cha disko bilicanas,mambo club DJ JD ni mkali ila ukizungumzia ukongwe na kujua muziki DJ JD ni rookie.....na wengi mnaonyesha hamumjui BONNY LUV mngemjua msingemfananisha na DJ JD.
 
Huwa anapiga club gani niende nikashuhudie maujanja yake
 

Tukiacha ukongwe (Bonny ni mkongwe zaidi) kila mtu anamchango mkubwa katika tasnia ya burudani Tanzania.Lakini tukizungumzia ubora wa DJ kila mtu ana test yake.

Binafsi nimecheza madisko yao toka kipindi hicho lakini DJ JD still is my number one DJ ever hapa Bongo.Kujua muziki sijui unataka kumaanisha nini maana ukisema DJ JD ni rookie hapo ndio naanza kuhofu kama utachangia fairly kwenye hili.DJ JD anajua muziki na anaheshimika kwa hilo.

Bonny Luv vs DJ JD ni ubishi wa longtime lakini hatuwatendei haki maana kila mtu ametamba kwa wakati wake lakini kipindi cha nyuma wote wakiwa very active kwenye game DJ JD ndio alikuwa anakimbiza Bongo nzima na kuinfluence Madj kibao!
 

huwezi kumlinganisha DJ JD na BONNY LUV.....ni sawa unalinganisha MAN UTD na SIMBA......JD is just a rookie ukimfananisha na BONNY LUV....otherwise unamjua JD ila unamsikia BONNY LUV hujui uwezo wake....JD mlinganishe na wenzie hao akina peter moe sijui nani ila BONNY LUV ni another level
 
Jd is doing music as professional and not otherwise!

Will support him always!
 
dj jd my best dj ev ever not only in bongo but in the all world. i really miss his touches aisee. natamani sana arudi radio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…