ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Ni yule jamaa alie fatwa na chizi kule k/kooKwani huyo Khaled ndio nani?
Hahahaa.Kwamba mtu maarufu sana akimfollow mbongo kwenye social media basi ni dalili za mafanikio na nyota kung'aa kwa mbongo huyo?
Yaani kabisa hii nayo inakuwa habari?
Anyway ndio wabongo mlivyo na sio mara ya kwanza hii kukuza habari ambazo hazikustahili kuwa habari, hata huko nyuma Obama aliwahi kumfollow jokate kwenye twitter na penyewe ilitangazwa hivi hivi utafikiri ni tukio kubwa na uncommon sana.
Wakati wengine hapa akina Thiery henry wametufollow tangu kitambo na hatuoni chochote cha ajabu.
Mmmmh.Inatusaidia nini sisi? Akimfollow au asimfollow nini sisi tunapata au wewe unapata nini? Tuache kudumaza akili zetu kufatilia mambo ya kipuuzi ambayo hayatujengi akili wala maisha yetu
Afya yako ya ubongo ni dhaifu sanaKama Diamond haina shida ni superstar ingekua yule babu wa k/koo ningeshangaa