DJ Khaled amemfollow Diamond instagram!

DJ Khaled amemfollow Diamond instagram!

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Diamondplatnumz nyota yake inzidi kung'aa baada ya DJ KHALED kumfollow katika Account yake ya Instagram! Hii inamaanisha DJ khaled anamfahamu Diamond na anapenda kile ambacho anafanya

Kwa nchi za wenzetuu mtu au star akikufollow ni kitu kikubwaa sanaa tofauti na Hapa Bongo mtu anamfollow yeyote bila kujua anatafuta nn kwa huyo mtu! Katika watu elfu 3 duniani alio wafollow DJ khaled na Diamond naye yupo? Means hata akimtumia Ujumbe Insta Direct ataupata na kujibu! Sasa ni wakati wa Diamond kutumia Hii nafasii!
IMG_1084.jpg
IMG_1083.jpg
 
Sasa DJ khalid anataka nini kutoka kwa Watu 3000?
 
Kwamba mtu maarufu sana akimfollow mbongo kwenye social media basi ni dalili za mafanikio na nyota kung'aa kwa mbongo huyo?

Yaani kabisa hii nayo inakuwa habari?

Anyway ndio wabongo mlivyo na sio mara ya kwanza hii kukuza habari ambazo hazikustahili kuwa habari, hata huko nyuma Obama aliwahi kumfollow jokate kwenye twitter na penyewe ilitangazwa hivi hivi utafikiri ni tukio kubwa na uncommon sana.

Wakati wengine hapa akina Thiery henry wametufollow tangu kitambo na hatuoni chochote cha ajabu.
 
Hahahaa.
 
Inatusaidia nini sisi? Akimfollow au asimfollow nini sisi tunapata au wewe unapata nini? Tuache kudumaza akili zetu kufatilia mambo ya kipuuzi ambayo hayatujengi akili wala maisha yetu
Mmmmh.
 
Back
Top Bottom