DJ khaled ni producer au songwriter?

Joined
Jun 15, 2017
Posts
46
Reaction score
40
Huyu jamaa ngoma zake Kali sana, pamoja na ngoma nyingi alizotoa, hakuna anayoimba lakin huwa zinauza mno. Ametoa juzi "I'm the one", baada ya muda mfupi katoa "wild thoughts" akiwa na Rihanna. Wenzangu, huyu DJ khaled kulikoni, ni producer na songwriter? Mtu yeyote aandike nyimbo anayoipenda kutoka kwake tuzifahamu zote.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
We the best. Huyu ni producer buda.

DJ choka kuna kipindi alijaribu kufanya kama jamaa sijui aliishia wapi. Alikuwa anawachukua Mexicana na Tamaduni wachache na n.k wanatengeneza track.

Tracks zingine kwa DJ k.
Nas Album done
How many times
No new friends
Welcome to my Hood
Never surrender
Holla at me n.k
 
Trucks kama welcome to my hood, all do is win# yeap ni bora kwangu
 
Siku hz tunamwita baba ahsaad

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Album yake [HASHTAG]#grateful[/HASHTAG] inafanya vzur sana kunako billboards

Sent from my Samsung galaxy S6 edge using jamiiforums app
 
[HASHTAG]#grateful[/HASHTAG]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wild thoughts in bonge LA joint Khaleed ft Rihanna. Jamaa namuelewa sana

Dude lingine Kali nalolikubali kwa sasa Do you mind- khaleed ft Rick Ross
 
Wapo akina David Guetta, Dj Snake, Martin Garrix, Calvis Harris, Kygo wanafanya the same, ila hawa wamebase kwenye pop...

Huwa nataman bongo kuwe na kitu kama hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…