Hubby material
Member
- Jun 15, 2017
- 46
- 40
Huyu jamaa ngoma zake Kali sana, pamoja na ngoma nyingi alizotoa, hakuna anayoimba lakin huwa zinauza mno. Ametoa juzi "I'm the one", baada ya muda mfupi katoa "wild thoughts" akiwa na Rihanna. Wenzangu, huyu DJ khaled kulikoni, ni producer na songwriter? Mtu yeyote aandike nyimbo anayoipenda kutoka kwake tuzifahamu zote.
Post sent using JamiiForums mobile app
Post sent using JamiiForums mobile app