Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitting on top floor what you think I'm hot for,number one in this b!+(h and I'm stay there,we the best of the best.Trucks kama welcome to my hood, all do is win# yeap ni bora kwangu
Ndio unoma wake huo sasa maana ni wachache wenye uwezo wa kuunganisha watu wengi kwenye nyimbo moja na ikafanya vizuri kama jamaa anavyofanya poaNyie Jamaa Hacheni kumjaza Ujiga Dj Khalid. Unasema Huyu jamaa ni noma sana. Utafikiri hizi Nyimbo anaziimba yeye.
Yeye ni mzuri wa kutengeneza Good combinations tu. Anajua Kuchagua wasanii.
Huyu jamaa ngoma zake Kali sana, pamoja na ngoma nyingi alizotoa, hakuna anayoimba lakin huwa zinauza mno. Ametoa juzi "I'm the one", baada ya muda mfupi katoa "wild thoughts" akiwa na Rihanna. Wenzangu, huyu DJ khaled kulikoni, ni producer na songwriter? Mtu yeyote aandike nyimbo anayoipenda kutoka kwake tuzifahamu zote.
Post sent using JamiiForums mobile app
We kweli fyoko....Sijawahi kusikia nyimbo zake ila nazikubali sana
Yaani umenifanya nipaliwe kwa kucheka ....dah...haya mkuuSijawahi kusikia nyimbo zake ila nazikubali sana
Namkubali david guettaWapo akina David Guetta, Dj Snake, Martin Garrix, Calvis Harris, Kygo wanafanya the same, ila hawa wamebase kwenye pop...
Huwa nataman bongo kuwe na kitu kama hiki
Now I got d new name in the street they call me .......
Heavy Weight
Dah kuna watu wanachekesh humu ndani aseeSijawahi kusikia nyimbo zake ila nazikubali sana