Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijawahi kusikia nyimbo zake ila nazikubali sana
“No words can describe how beautiful you are. Billy got"[emoji8]Billy 🙂
[emoji3][emoji3][emoji3]OhAnachofanya dh khaleed nikuwapa idea wasanii, pamoja na mdundo ila mwisho wa siku ngoma inakuwa mali yake, unaambiwa jamaa ana sikio hatari akikuta mdundo studio anakuambia hapa mlete linex na nick minaj, so jamaaa ni janjaa janjaaa, wala hatungi nyimbo, wenzetu wanaelewa maana ya hati miliki.
driller⛏⚒
Hiyo ni sawa na trump au Kim jong un ampigie sim mbunge wa mtera[emoji3][emoji3][emoji3]Oh
Ndomana Linex akasema kapigiwa simu na Dj Khaled?haha
Sent using Jamii Forums mobile app
Am the one Kali.Huyu jamaa ngoma zake Kali sana, pamoja na ngoma nyingi alizotoa, hakuna anayoimba lakin huwa zinauza mno. Ametoa juzi "I'm the one", baada ya muda mfupi katoa "wild thoughts" akiwa na Rihanna. Wenzangu, huyu DJ khaled kulikoni, ni producer na songwriter? Mtu yeyote aandike nyimbo anayoipenda kutoka kwake tuzifahamu zote.
Post sent using JamiiForums mobile app